hahahaaaaa nimecheeka mpaka kidogo niunguze mboga teehh
kwahiyo ulijua mnakutana na shalobalo ili mkafanye biashara au? wakatia keshakwambia kavutiwa na sredi alivyokuona nazani ndio ukammaliza kabisaaaaaa msamehe bure jamani sio makosa yake jamani.
hivi lakini tifaa wewe una umri gani kwani?
maana mikasa haikushi vipi kanisa la kiroho ulishapata?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.