Nawasisitiza sana marafiki wa social network sio kabisa, kuna mtu kanipm ooh tuwe marafiki nimesoma sred zako nyingi kwahiyo nimevutiwa
akaniachia namba yake nikampigia kwabahati hatukuwa mbali namahali nilipo ikabidi tukutane, mara phone yake ikaita kaongeaa karibia lisaa sijakaa sawa katoa ipad kaanza kubrows mambo yake heee ikabidi nimshangae hakuna maongezi mpaka hapo ee, mara samahani honey ingia basi ndani yagari tuongee kibo ! Nimekua honey? Mara kanishika kiuno huku anataka kunikumbatia khee! Nilichukiaa ilibidi nimropokee maneno makaali namachafu nikasepa zangu!
Lakini hayo yalikuwa yenu wawili. Nahisi kuwa humtendei haki huyo jamaa kwa kuweka wazi mambo mliyokubaliana wawili mkapeana na contact zenu na sijui mlichokubaliana hadi mkakubaliana kukutana. Au umeona haendani na hadhi yako.... Nakushauri unyamaze kama yalikukuta hayo unayoyasema basi si lazima utusimulie na sie ambao hatukuwepo katika makubaliano yenu ya urafiki na kuwa huo urafiki ungekuwa na mipaka gani.