mimisa
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,511
- 1,441
hivo tu?
wanawake wa kileo kuimbisha ni kupoteza muda. Unakamata unamkatia kipande chake.

Sasa povu la nini si ndo kidigitali,
We ukiona mistari humu uanazani malijaaaali, wengine midomo zege!
Yeye anachojuwa ushakubali kifuatacho ITV ni dudu tu!
Na bahati yako ungekubali mgegedo angepizi yeye tu.
Nawasisitiza sana marafiki wa social network sio kabisa, kuna mtu kanipm ooh tuwe marafiki nimesoma sred zako nyingi kwahiyo nimevutiwa
akaniachia namba yake nikampigia kwabahati hatukuwa mbali namahali nilipo ikabidi tukutane, mara phone yake ikaita kaongeaa karibia lisaa sijakaa sawa katoa ipad kaanza kubrows mambo yake heee ikabidi nimshangae hakuna maongezi mpaka hapo ee, mara samahani honey ingia basi ndani yagari tuongee kibo ! Nimekua honey? Mara kanishika kiuno huku anataka kunikumbatia khee! Nilichukiaa ilibidi nimropokee maneno makaali namachafu nikasepa zangu!
Mkuu,kweli ati.... ili wadada wengine wamuepuke. Mimi tangu nilipoitwa Tapeli sina mzuka hata kidogo wa kujuana na mtu humu. Labda wale niliofahamiana nao uraiani then tukajuana id zetu.......
Hahahahaah swahiba watu wengine bana.... sijui kwanini hakumPM wamalizane? Tena na namba za simu anazo angeweza kumpa kubwa tu yaishe.... Vijana wa siku hizi bana!
Hahahaaaaa.... Jamani wewe mtu fudenge ambaye tumepanga tuonane Jumamosi naomba usiniite hani wala usinishike kiuno... Hahahaa..!!
Nawasisitiza sana marafiki wa social network sio kabisa, kuna mtu kanipm ooh tuwe marafiki nimesoma sred zako nyingi kwahiyo nimevutiwa
akaniachia namba yake nikampigia kwabahati hatukuwa mbali namahali nilipo ikabidi tukutane, mara phone yake ikaita kaongeaa karibia lisaa sijakaa sawa katoa ipad kaanza kubrows mambo yake heee ikabidi nimshangae hakuna maongezi mpaka hapo ee, mara samahani honey ingia basi ndani yagari tuongee kibo ! Nimekua honey? Mara kanishika kiuno huku anataka kunikumbatia khee! Nilichukiaa ilibidi nimropokee maneno makaali namachafu nikasepa zangu!
Nawasisitiza sana marafiki wa social network sio kabisa, kuna mtu kanipm ooh tuwe marafiki nimesoma sred zako nyingi kwahiyo nimevutiwa
akaniachia namba yake nikampigia kwabahati hatukuwa mbali namahali nilipo ikabidi tukutane, mara phone yake ikaita kaongeaa karibia lisaa sijakaa sawa katoa ipad kaanza kubrows mambo yake heee ikabidi nimshangae hakuna maongezi mpaka hapo ee, mara samahani honey ingia basi ndani yagari tuongee kibo ! Nimekua honey? Mara kanishika kiuno huku anataka kunikumbatia khee! Nilichukiaa ilibidi nimropokee maneno makaali namachafu nikasepa zangu!
Usijali, lakini usije ukanirudisha jamvini kama alivyofanya Latifa kwa .....
kuna hichi kitu kinaboa sana mtu unakwenda/unapanga kukutana na mtu hata kama sio festi time, lakini mtu unakuta muda wote yupo na ubize usioisha na simu, mara msg zinaingia mfululizo yupo bize kuzijibu, mara simu zinaingia mfululizo ikikatika hii inaingia nyingine utafikiri kastama kea!
unaongea/unamsemesha maneno ishirini anajibu neno moja, kana kwamba kuonana kwenu hakutilii maananani au amedharau kuonana kwenu au ni ushamba tu, kama ni notifications si ataresponda hata baadaye au hata kama ni kuchat na kujibu msg si aweke simu pembeni kuna baadaye ataendelea kuchat !!!
Hahha hhahaha daaaah mkuu hapo umetisha labda alikua anataka aitwa salt au pilipiliDu!
Hiyo ndiyo jf nyuma ya mapazia bana.
Sasa kwanini na wewe umekuja kumchora huku bana?
Halafu mtu anakuita HANI unachukia? Unataka akuite Poison?
Diuuhh unazali wewe kumbe umefatwa na mchizi na gari, ipad, vipi simu sio iphone 5 kweli hiyo eenhh...?swali la kizushi tu hilo inawezekana amekuona sio maana mim kny dates simu ni silent..Nawasisitiza sana marafiki wa social network sio kabisa, kuna mtu kanipm ooh tuwe marafiki nimesoma sred zako nyingi kwahiyo nimevutiwa
akaniachia namba yake nikampigia kwabahati hatukuwa mbali namahali nilipo ikabidi tukutane, mara phone yake ikaita kaongeaa karibia lisaa sijakaa sawa katoa ipad kaanza kubrows mambo yake heee ikabidi nimshangae hakuna maongezi mpaka hapo ee, mara samahani honey ingia basi ndani yagari tuongee kibo ! Nimekua honey? Mara kanishika kiuno huku anataka kunikumbatia khee! Nilichukiaa ilibidi nimropokee maneno makaali namachafu nikasepa zangu!
una kichaa wewe inaonekana hujanielewa, hata hivyo sio lazima unielewe.heee! Sasa unataka kila sekunde awe busy nawewe kwani yupo kwenye Interview ?