Ameniadd kwenye group la madada wenzake

huyo hana lolote anataka wewe umsaidie kutafuta mwanamke mwengine ambae mnaweza have threesome together....sasa wewe wala usjitoe wewe chat nae na mademu wengine alafu wewe ongelea masuala ya threesome au orgy
 
Yaani mi nakushangaa...amekupeleka kisimani unashindwa kunywa maji? Mi nifowardie namba za hao wenzake at least 10, wazuri wazuri nikuoneshe kazi...UKIONA nyoya tu, jua kaliwa we hesabu tu
ukitongoza mtu convo inaletwa group
unachambwa
 
Muambie ampe admin namba yako wakuadd bwana.
Yaani mi nakushangaa...amekupeleka kisimani unashindwa kunywa maji? Mi nifowardie namba za hao wenzake at least 10, wazuri wazuri nikuoneshe kazi...UKIONA nyoya tu, jua kaliwa we hesabu tu
 
Fursa hiyo mjomba,we ukoje??
Piga gegedo mmoja baada ya mwingine.... Simamia ukucha,wakirudi kundini wasimuliane vizuri
 
Hahahahah

Kukuadd kwenye hilo group ni ujumbe amekupa....

Hahahah

Mbaya sana huyo
 
inshort una mambo ya kike. na ulivyoomba msaada hapa ni kweli. uliahindwa kumblock?
 
Piga screen shot za profile zao na sms zao kama wanakutukana then watumie, then wambie tukutane Polisi. Ni lazima wakunyofoe wenyewe.
 
Block no za ma-admin kwanza then exit.
Hawataweza kuku-add tena.

Nb: unatuaibisha wanaume wenzio kwa ushamba wa kushindwa kutumia simu.
Ha ha ha umenichekesha asee! Ila kama wamempania hatoweza hata akiwablock maadmin cz wale maadmin wataongeza maadmin halafu hao wapya watamu add tena. Kwa hyo watakuwa wanapokezana hvohvo. Atubu tu makosa yake au awatishie atawaroga.[emoji2]
 
Wakiongezeka anaendelea kuwablock tuu, wala haihitaji kugive up.
Mwisho wa siku wenyewe watashindwa
 
Awali ya yote tupia picha yako hapa tujue tunaanzia wapi kukushauri.Inawezekana wanahitaji na mawazo yako pia.
Unajua tena mambo ya saloon talks,kitchen party weza kua unautaalamu maeneo hayo.
Tuanzie hapo kwanza.
 
cha maana wapige threesome
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…