Ameniadd kwenye group la madada wenzake

Komaa usitoke kwenye hilo group..... Au mchukue demu mmoja au wawili humo
 
kumbe ni wewe tuliekuadd
maana hatupumui kila ukitaka kusema umbea janamme hili limepita...
tabu sana! afu unajifanya kutoka hujui
smartphone umeanza kutumia lini
 
Yaani mi nakushangaa...amekupeleka kisimani unashindwa kunywa maji? Mi nifowardie namba za hao wenzake at least 10, wazuri wazuri nikuoneshe kazi...UKIONA nyoya tu, jua kaliwa we hesabu tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji3] [emoji3] [emoji12]
 
Idadi ya wanaume hapa Tanzania inazidi kuporomoka kwa kasi kubwa sana kuwahi kutokea tangia nchi ipate uhuru!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Una tabia za kimama.
Bado kupewa tu wishes za happy women's day
 
Eti kidume cha mbegu [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Ww utakuwa mwanaume wa dar
 
Una tabia za kimama.
Bado kupewa tu wishes za happy women's day
Sio kweli,kumbuken yawezekan huyo dada bado anampenda jamaa afu akaona kumuweka huko ipo siku atachangia au ataongea kitu ambacho kitafanya kundi lote wajadili na warudiane.

~pia huenda anamkomoa tuu na hana mpango nae wowote ili aongee hovyo wamtukane ilinrad roho yake iridhike.

~pole kaka we endelea kukaa kimya maadam unajitoa anakurudisha naamin hakuna marefu yasiyo na mcha.usimtafute private wala usichangie kwenye kund lao.

~JIFUNZE KUNYAMAZA.afu utaona matokeo
 
Yaani mi nakushangaa...amekupeleka kisimani unashindwa kunywa maji? Mi nifowardie namba za hao wenzake at least 10, wazuri wazuri nikuoneshe kazi...UKIONA nyoya tu, jua kaliwa we hesabu tu
Yupo kwenye dimbwi la maji alafu anakufa kwa kiu cha maji
 
Tuma ujumbe, waambie kuwa unajitoa atakaye kuadd bila ruhusa yako unenda kumshtaki TCRA.
 
Yaani mi nakushangaa...amekupeleka kisimani unashindwa kunywa maji? Mi nifowardie namba za hao wenzake at least 10, wazuri wazuri nikuoneshe kazi...UKIONA nyoya tu, jua kaliwa we hesabu tu
Mwambie aniadd na mm bro plz
 
Duuh fanya kitu cha kijinga kwenye hilo grup watakutoa wenyewee
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…