Ameni-dump kwa mara ya pili

Dah! wanawake ukiwaelewa ni watu wenye huruma sana. Baada ya kuachana nae hujakutana na mwanaume mwingine kwa miaka2, unakuja kukutana nae huyo huyo tena na anakuchezea. Pole sana. Ndiyo mapenzi yalivyo.
 
Go go go girl!!!
 
No niliachana nae 2003, baada ya hapo alioa, alianza kurudi kwangu 2010. Ilikuwa miaka miwili tangu nikutane na mwanaume last.
 
SO TRUE AND THIS BEACH GOT LUCKY THIS TIME IS ABOUT TO BANG A GERMAN SHEPHERD!!!!!!!!! Chiwawa take several seats back and pack well jor! Its gonna be a long ride. I have edited make sure you read!:becky:
Good for you.
 
Huenda amekuta kilichomkimbiza bado kipo. Inauma lakini kuna uwezekano huo pia
 
Dont be unecessarily mean and rude. Muwe na huruma ndugu zangu, itikadi za BOYS TO MEN hapa zinamnyongonyeza victim.

Mmmmh!!!

Hivi hiyo post ya Watu8 inaonesha u-rudeness?

Mbona mleta mada kajiita hivi...

Nimejiona mpumbavu sana kumruhusu binadamu huyu kuchezea moyo wangu kwa mara ya pili.
 
Thats wat i call "pure living" damn it thats soo irritatn but a "pure leason too" hopeful you leant alot next time just visualize wat was done unto you and you'll discover dat you had been used as a vodka for calmn the stress and the tables turned..!dont you have a "Men" than being used as a vocher
 
Mpaka anakuja huyu mwanaume sikuwa nimefanya mapenzi kwa miaka miwili, uone tu jinsi ninavyojiheshimu.

nani alikwambia kuwa kipolo cha makande ukikipasha ninakuwa fesh as if kimepikwa leo??? Poleee
 
Mmmmh!!!

Hivi hiyo post ya Watu8 inaonesha u-rudeness?

Mbona mleta mada kajiita hivi...

Hahahahaaaa! Alikuwa anatafuta SYMPATHY sasa ndo mtu anatishia kujiua, unamtaarifu kaburi tayari na cement ya kusakafia pia tayari, andelee tu kinachosubiriwa ni utekelezaji. :becky:
 
No niliachana nae 2003, baada ya hapo alioa, alianza kurudi kwangu 2010. Ilikuwa miaka miwili tangu nikutane na mwanaume last.

Itakuwa alipanga mapema na alijua atapata safari ya huko, ili asiwe mpweke ndiyo akatafuta "Easy target" ya kujivinjari nayo, ambayo ni wewe. Na inaonekana anajua udhaifu wako mpaka kufanikiwa kukurudisha tena. Usiogope ni kawaida sana katika mapenzi mambo kama hayo ingawa yanauma sana.
 
Kidemu cha mizingaaa ndio unatutangazia kwamba unauzaa eheee
 
Hahahahaaaa! Alikuwa anatafuta SYMPATHY sasa ndo mtu anatishia kujiua, unamtaarifu kaburi tayari na cement ya kusakafia pia tayari, andelee tu kinachosubiriwa ni utekelezaji. :becky:

Hahaha hapana buanaaa...

Nilitaka ajue kuwa kosa limetokana na yeye mwenyewe...

Ila bahati nzuri kashatambua kuwa alikutana na bazazi...
 
ndo maana wanasema ukitaka kupasha kipolo pasha cha ubwabwa tuuu! Otherwise ukijifanya una huruma kwa wanaume utakuwa zaidi ya mtumwa, komaa na hilo danga lako akishindwa a log out mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…