Amemwaga mboga, je na mimi nimwage ugali?

Amemwaga mboga, je na mimi nimwage ugali?

657b76253abc976571ec0a0362be0c57.jpg

Zingatia.
 
Kaa Kimya tu hivi unaposema anakusema vibaya una maana gani??
 
Tahadhari: Unaweza mwaga ikakumwagikia mwenyewe.
 
Kati ya haya kuna yabayohusika.

JUU YAKO
1.anakitangaza unakibamia
2.anakutangaza unaenda round moja
3.anakutangaza unapiga cha kuku.

JUU YAKE
1.Anatoa tigo
2.Ulimkuta kimboka
3.Ana bwawa.
Ushauri: Husithubutu kutoa clip zake za ngono itakuwa kosa kisheria kesi itakusumbua itakula muda na fedha.
Achana naye saka fedha mjini hapa
 
Take your time bro,time is money,take your time to make money n life,mwache aendelee na porojo zake afterall unamjua vilivyo,angalia maisha yk na mwache km alivyo
 
Habarini,

Kitambo sana sijaiingia humu nilipamiss sana hapa lakini majuku ndo yalinibana!

Anyway ngoja niende kwenye mkasa wenyewe,nilikuwa na msichana fulani ambaye sahizi tumeachana kama wiki 2 hivi zimepita yeye ndo alinifuata na kuniambia anaomba tuachane akatoa sababu zake pale.

Japo nilibisha nikaamua kumuelewa na kukubali kuachana naye na akanipromiss kuwa akihitaji kuwa na mtu atanitafuta tuendelee na uhusiano wetu nilikubali na akaomba iwe siri kati ya mimi na yeye na nisimwambie mtu nikamwambia poa kweli hata marafiki zangu hawajui wa karibu hadi sasa wanajua bado nipo naye.

Lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nafuatwa sana na watu wananiambia yale msichana wangu anayo anayasema kwa marafiki zake wakiume na wakike wote anawaambia ananisema kifupi na kikubwa kavunja makubaliano yetu ambayo yeye mwenyewe alisema kuwa nisimwambie yeyote iwe siri yetu kifupi anamwaga mboga, akaomba nimtunzie na siri zake lakini sahizi naona hili linavuka mipaka ananisema sana kwa marafiki zake na ninaambiwa sasa mimi sipendi nimekaa kama mjinga.

Nikampigia simu kumwambia namuomba tukutane kuna kitu nataka kuongea nae lakini kaniletea dharau ambayo sijawahi fanyiwa na mtu yeyote yule maisha yangu, lengo langu nilitaka kumuuliza na kuongea naye kwanini anatema shudu kwa marafiki zake hio siri iko wapi lakini akakataa.

Nimejiuliza mengi nikasema mimi ni mwanaume je na mimi nianze kutema siri zake? Nikaona haitasaidia lakini maneno yanazidi hadi sasa nataka kupost picha zake zote za uchi mitandao yote ya kijamii nayo ifahamu kwa hasira nilizo nazo lakini naona kama haitasaidia nashindwa nifanyaje, sijui niteme siri zake zingine zote na sababu iliotufanya tuachane maana sababu iliotufanya tuachane nikosa lake kubwa sana na ni aibu katika jamii na kila atakae sikia basi atamdharau yeye kwa kila kitu.

Je nimwage ugali? Au nikaushe kiume
Ugomvi wa kike huo wa kujibishana na ukiingia kwenye vita hiyo unaweza kujikuta unanunua kanga zenye vijembe ili umtusi huyo demu.ACHANA NA HUO UTOTO TAFUTA MAPESA NDIO PIGO KUBWA KWA X WAKO
 
Mnataka kuonesha nini umma wa vizazi vijavyo? Fikiria maisha yako miaka 50 ijayo, MOVE ON
 
Your best reaction ni kukaa KIMYA. Tofauti na hapo you only reveal how foolish you may become and it gonna cost you big time. Gone are those days.
 
Pika mboga nyingine
 

Attachments

  • ugali_our_national_56fce21e6dcd3.jpg
    ugali_our_national_56fce21e6dcd3.jpg
    6.4 KB · Views: 38
Nitumie picha hizo private kwanza nikushauri kama zinafaa kuwekwa mtandaoni.

Mambo ya kupostiana picha zenu za nyuchi ambazo mlipga na kutumiana kwa mapenzi yenu wakati mko wote ni ushamba.

Potezea songa mbele mwanaume hajibizani na mwanamke
 
Achana nae! Utakapofanya hivyo pamoja na kuwa yeye ndio aliyeanza lakini ww utaonekana mjinga zaidi. We mkaushie baadae yeye mwenyewe atajiona mjinga. Isipokuwa uweke wazi kuwa mausiano yenu yamekwisha ili watu wanaowazunguka wajue. Sababu ya yeye kukwambia iwe siri ilikuwa ni kukufunga wewe usitoe siri zake nje lakini akaenda kukuzunguka kwa kukusema vibaya. Kifupi wewe ni mwanaume baki na tabia yako ya kiume huo ndio uanaume.
 
gentleman always is vigilant toward his action,hawa viumbe ndo walivyo hawanaga dgo unaweka nae agreement af ndo anakuwa top kumwaga hadharan,kikubwa braza we kausha ukitake cool yatasemwa lkn finally yatapoa kuliko ku react against her
 
kabla hujamwaga, nimeisha elewa kuwa hyo mdashi alikuwa anatoa line kongwe bchini sjui kwa pesa au bure ilo sjarinotice ssna ila mbona nii kawaida sanaaaa siku hizi?
 
Vunga,wanaume tumeumbwa na kukausha mbilinge kama hizo piga kimya acha aropoke kesho atakaa kimya.
 
Back
Top Bottom