Amemwaga mboga, je na mimi nimwage ugali?

Mtoto wa kiume hupaswi kubishana na jinsia ya kike, hayo nayo yana mwisho.
 
Habarini,

Kitambo sana sijaiingia humu nilipamiss sana hapa lakini majuku ndo yalinibana!

Anyway ngoja niende kwenye mkasa wenyewe,nilikuwa na msichana fulani ambaye sahizi tumeachana kama wiki 2 hivi zimepita yeye ndo alinifuata na kuniambia anaomba tuachane akatoa sababu zake pale.

Japo nilibisha nikaamua kumuelewa na kukubali kuachana naye na akanipromiss kuwa akihitaji kuwa na mtu atanitafuta tuendelee na uhusiano wetu nilikubali na akaomba iwe siri kati ya mimi na yeye na nisimwambie mtu nikamwambia poa kweli hata marafiki zangu hawajui wa karibu hadi sasa wanajua bado nipo naye.

Lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nafuatwa sana na watu wananiambia yale msichana wangu anayo anayasema kwa marafiki zake wakiume na wakike wote anawaambia ananisema kifupi na kikubwa kavunja makubaliano yetu ambayo yeye mwenyewe alisema kuwa nisimwambie yeyote iwe siri yetu kifupi anamwaga mboga, akaomba nimtunzie na siri zake lakini sahizi naona hili linavuka mipaka ananisema sana kwa marafiki zake na ninaambiwa sasa mimi sipendi nimekaa kama mjinga.

Nikampigia simu kumwambia namuomba tukutane kuna kitu nataka kuongea nae lakini kaniletea dharau ambayo sijawahi fanyiwa na mtu yeyote yule maisha yangu, lengo langu nilitaka kumuuliza na kuongea naye kwanini anatema shudu kwa marafiki zake hio siri iko wapi lakini akakataa.

Nimejiuliza mengi nikasema mimi ni mwanaume je na mimi nianze kutema siri zake? Nikaona haitasaidia lakini maneno yanazidi hadi sasa nataka kupost picha zake zote za uchi mitandao yote ya kijamii nayo ifahamu kwa hasira nilizo nazo lakini naona kama haitasaidia nashindwa nifanyaje, sijui niteme siri zake zingine zote na sababu iliotufanya tuachane maana sababu iliotufanya tuachane nikosa lake kubwa sana na ni aibu katika jamii na kila atakae sikia basi atamdharau yeye kwa kila kitu.

Je nimwage ugali? Au nikaushe kiume
Achana, enda na maisha yako, atasema atachoka.
 
Tumia hekima yako na busara ya kuonyesha tofauti Kati yako na yake ukikimbizana na kichaa nawe utakuwa kichaa vilevile
 
we zimwage picha zake za uchi hapa, ili tuweze kukushauri ............
 
I think achana nae. Tuliza moyo wangu na tumia busara kuliko hasira.
 
unanshangaza unaosemakuachana iwe siri...kama una akili hiawezekani ikawa siri hapo umebugi....pili ungetoa reason hasa ya kutemana ili kuwe na logical argument au advice ya kukupa...tatu akili zake ndio zinamtuma kumwaga siri kama defensive mechanism...wepotezea tu mwisho picha zake kaa nazo for security au fun
 
Habarini,

Kitambo sana sijaiingia humu nilipamiss sana hapa lakini majuku ndo yalinibana!

Anyway ngoja niende kwenye mkasa wenyewe,nilikuwa na msichana fulani ambaye sahizi tumeachana kama wiki 2 hivi zimepita yeye ndo alinifuata na kuniambia anaomba tuachane akatoa sababu zake pale.

Japo nilibisha nikaamua kumuelewa na kukubali kuachana naye na akanipromiss kuwa akihitaji kuwa na mtu atanitafuta tuendelee na uhusiano wetu nilikubali na akaomba iwe siri kati ya mimi na yeye na nisimwambie mtu nikamwambia poa kweli hata marafiki zangu hawajui wa karibu hadi sasa wanajua bado nipo naye.

Lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nafuatwa sana na watu wananiambia yale msichana wangu anayo anayasema kwa marafiki zake wakiume na wakike wote anawaambia ananisema kifupi na kikubwa kavunja makubaliano yetu ambayo yeye mwenyewe alisema kuwa nisimwambie yeyote iwe siri yetu kifupi anamwaga mboga, akaomba nimtunzie na siri zake lakini sahizi naona hili linavuka mipaka ananisema sana kwa marafiki zake na ninaambiwa sasa mimi sipendi nimekaa kama mjinga.

Nikampigia simu kumwambia namuomba tukutane kuna kitu nataka kuongea nae lakini kaniletea dharau ambayo sijawahi fanyiwa na mtu yeyote yule maisha yangu, lengo langu nilitaka kumuuliza na kuongea naye kwanini anatema shudu kwa marafiki zake hio siri iko wapi lakini akakataa.

Nimejiuliza mengi nikasema mimi ni mwanaume je na mimi nianze kutema siri zake? Nikaona haitasaidia lakini maneno yanazidi hadi sasa nataka kupost picha zake zote za uchi mitandao yote ya kijamii nayo ifahamu kwa hasira nilizo nazo lakini naona kama haitasaidia nashindwa nifanyaje, sijui niteme siri zake zingine zote na sababu iliotufanya tuachane maana sababu iliotufanya tuachane nikosa lake kubwa sana na ni aibu katika jamii na kila atakae sikia basi atamdharau yeye kwa kila kitu.

Je nimwage ugali? Au nikaushe kiume
Mkuu.. [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] Yaelekea huyo mrembo ni ka supataa flan hv hovyo kitabia...
Ndy maana kinaume kinataka kutikisika (kujibu mapigo ya maneno etc)!!!

Worr out, nina imani balances zako ktk accounts zako tofauti hazijaharibika or kupungua sababu ya hayo maneno toka kwa huyo mrembo wako wa zamani.

Plse, maisha lazima yaendelee with her or without her.
Mrembo alichagua Path yake, ww tafuta fedha hapana kujali.
Hiyo ndy tabia tofauti kati yetu na wao...!!
 
Sorry but how old ar
Habarini,

Kitambo sana sijaiingia humu nilipamiss sana hapa lakini majuku ndo yalinibana!

Anyway ngoja niende kwenye mkasa wenyewe,nilikuwa na msichana fulani ambaye sahizi tumeachana kama wiki 2 hivi zimepita yeye ndo alinifuata na kuniambia anaomba tuachane akatoa sababu zake pale.

Japo nilibisha nikaamua kumuelewa na kukubali kuachana naye na akanipromiss kuwa akihitaji kuwa na mtu atanitafuta tuendelee na uhusiano wetu nilikubali na akaomba iwe siri kati ya mimi na yeye na nisimwambie mtu nikamwambia poa kweli hata marafiki zangu hawajui wa karibu hadi sasa wanajua bado nipo naye.

Lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nafuatwa sana na watu wananiambia yale msichana wangu anayo anayasema kwa marafiki zake wakiume na wakike wote anawaambia ananisema kifupi na kikubwa kavunja makubaliano yetu ambayo yeye mwenyewe alisema kuwa nisimwambie yeyote iwe siri yetu kifupi anamwaga mboga, akaomba nimtunzie na siri zake lakini sahizi naona hili linavuka mipaka ananisema sana kwa marafiki zake na ninaambiwa sasa mimi sipendi nimekaa kama mjinga.

Nikampigia simu kumwambia namuomba tukutane kuna kitu nataka kuongea nae lakini kaniletea dharau ambayo sijawahi fanyiwa na mtu yeyote yule maisha yangu, lengo langu nilitaka kumuuliza na kuongea naye kwanini anatema shudu kwa marafiki zake hio siri iko wapi lakini akakataa.

Nimejiuliza mengi nikasema mimi ni mwanaume je na mimi nianze kutema siri zake? Nikaona haitasaidia lakini maneno yanazidi hadi sasa nataka kupost picha zake zote za uchi mitandao yote ya kijamii nayo ifahamu kwa hasira nilizo nazo lakini naona kama haitasaidia nashindwa nifanyaje, sijui niteme siri zake zingine zote na sababu iliotufanya tuachane maana sababu iliotufanya tuachane nikosa lake kubwa sana na ni aibu katika jamii na kila atakae sikia basi atamdharau yeye kwa kila kitu.

Je nimwage ugali? Au nikaushe kiume
Sorry but how old are you ?
 
Anaanika siri zako zipi? Una 'kibamia' au performance yako iko chini? Siri zake zipi unazotishia kuzianika? Naye ni gogo? Au ana maji mengi?
Kuwa wazi. mwaga hapa hizo siri tukusaidie kuzichambua...
 
Back
Top Bottom