Amemwaga mboga, je na mimi nimwage ugali?

Amemwaga mboga, je na mimi nimwage ugali?

Sasa kumbe jibu unalo.
Bro, kwa umri huo sikutegemea utakuja uliza JF what to do !!
Yalikuwa yamefika sh ngoni sasa watu hapa wamenishauri nikae kimya Ila wadada waache kutudharirisha tukilala nao,hata kama tukikosea maana Siku mtu unaweza amka huna mood
 
Nim
Yalikuwa yamefika sh ngoni sasa watu hapa wamenishauri nikae kimya Ila wadada waache kutudharirisha tukilala nao,hata kama tukikosea maana Siku mtu unaweza amka huna mood
Nimekupata mkuu...!
Lakini dawa ya moto ni moto sio maji so wewe huhitaji votes za watu humu kwanza hatujui kasema nn lakini reading between lines ni kwamba kachafua jina so ww fanya mambo sio lazima utueleze humu !!
Mwizi anakuja kwako anavunja geti una bunduki na unamuona lkn unataka kutumia panga ??

Anza na jukwaa la wakubwa humu 🙂
 
Hata "Ukimya" nalo ni jibu;tena ni jibu mujaraabu kwelikweli...Achana naye!!
 
Nim

Nimekupata mkuu...!
Lakini dawa ya moto ni moto sio maji so wewe huhitaji votes za watu humu kwanza hatujui kasema nn lakini reading between lines ni kwamba kachafua jina so ww fanya mambo sio lazima utueleze humu !!
Mwizi anakuja kwako anavunja geti una bunduki na unamuona lkn unataka kutumia panga ??

Anza na jukwaa la wakubwa humu 🙂
Hapo umenena aanze na jukwaa la wakubwa humu ndani....teh! teh! teh! teh! teh! Tuendelee kusuza macho ili kama tunamjua huyo dada tukamuulize dada yetu kulikoni........!!
 
Broo we tulia piga mishe mishe tafuta pesa nyingi sana na uwe bize na mambo yako tu siku usawa ukitulia ng'oa kimwana mkali kuliko yeye kisha tulia kimyaa usimsemeshe yaan fanya yako tu
 
Wanaume wa dar si ndio huwa mnapenda ligi na wanawake!
 
Habarini,

Kitambo sana sijaiingia humu nilipamiss sana hapa lakini majuku ndo yalinibana!

Anyway ngoja niende kwenye mkasa wenyewe,nilikuwa na msichana fulani ambaye sahizi tumeachana kama wiki 2 hivi zimepita yeye ndo alinifuata na kuniambia anaomba tuachane akatoa sababu zake pale.

Japo nilibisha nikaamua kumuelewa na kukubali kuachana naye na akanipromiss kuwa akihitaji kuwa na mtu atanitafuta tuendelee na uhusiano wetu nilikubali na akaomba iwe siri kati ya mimi na yeye na nisimwambie mtu nikamwambia poa kweli hata marafiki zangu hawajui wa karibu hadi sasa wanajua bado nipo naye.

Lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nafuatwa sana na watu wananiambia yale msichana wangu anayo anayasema kwa marafiki zake wakiume na wakike wote anawaambia ananisema kifupi na kikubwa kavunja makubaliano yetu ambayo yeye mwenyewe alisema kuwa nisimwambie yeyote iwe siri yetu kifupi anamwaga mboga, akaomba nimtunzie na siri zake lakini sahizi naona hili linavuka mipaka ananisema sana kwa marafiki zake na ninaambiwa sasa mimi sipendi nimekaa kama mjinga.

Nikampigia simu kumwambia namuomba tukutane kuna kitu nataka kuongea nae lakini kaniletea dharau ambayo sijawahi fanyiwa na mtu yeyote yule maisha yangu, lengo langu nilitaka kumuuliza na kuongea naye kwanini anatema shudu kwa marafiki zake hio siri iko wapi lakini akakataa.

Nimejiuliza mengi nikasema mimi ni mwanaume je na mimi nianze kutema siri zake? Nikaona haitasaidia lakini maneno yanazidi hadi sasa nataka kupost picha zake zote za uchi mitandao yote ya kijamii nayo ifahamu kwa hasira nilizo nazo lakini naona kama haitasaidia nashindwa nifanyaje, sijui niteme siri zake zingine zote na sababu iliotufanya tuachane maana sababu iliotufanya tuachane nikosa lake kubwa sana na ni aibu katika jamii na kila atakae sikia basi atamdharau yeye kwa kila kitu.

Je nimwage ugali? Au nikaushe kiume


bila kuandika hilo kosa lake hii stori yak haina mashiko peleka kijiweni huko,ni uzushi na kupagawa kuachwa,nxt tim try kuwa mswat somhow!;hiz pumba ucngeleta
 
Back
Top Bottom