Amekutwa na ky jelly!

no, mm nayafahamu haya mafuta, yametngenezwa special kwa wanawake wacotoa ute wkt wa tendo la ndoa sa wabongo ndo wakachakachua ma2miz yake

Sio special kwa wanawake bibie..ni special for any lubrication.....mfano kumuingizia mtu catheter awe mwanaume au mwanamke...na procedure mbali mbali za hospitalini ambazo zinaitaji ulainishi sehemu ili kifaa kipite.. hayo ya kutumia kulainisha uke na anus kwa ajili ya mapenzi tumefanya sisI...SIO SPECIAL KWA WANAWAKE
 
Aaahh hizi ndoa za siku hizi nazo kisa fulani kaoa sijui kaolewa zinaboa!!
Mwambie bro ajaribu kutumia mtandao nae akiona unapatiakana jibu analo akiona not reachable bas ndoa iwepo
I miss you ticha upoo? khaaaaa kitambo sana
 
hii mada ya mwaka juzi ila imenifurahisha sana
 
Analiwa kiboga huyo mwambie ampige kichuma mchicha ataona,kitu kinavyo pumua,ila amekutana na bahati.

Duh Bahati gani tena jamani. Sasa hapa ndio mnatufnya tutake kujaribu. sasa unajaribia wapi? Kwa mkeo swali kuu unejifunzia wapi? Ndoa lazima itetereke
 

Mambo yetu na nani?! tutake radhi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…