Amekusanya kila kitu karudi kwao, sasahivi anataka nimuhudumie

Wanawake wanawake wanawake huwa wanajihis watu special sana

Mifano mingine hii hapa
Mwanamke wa kwanza:kaenda ustawi kuwa jamaa hamhudumii na watoto,huko ustawi akaomba apewe usimamizi wa duka la mumewe kama mume hatak kutoa matumiz kwel bhana mwanaume mwsho wa siku kalitoa duka kamkabidhi ila jamaa akakata kabisa kupeleka chakula nyumban,mwanamke tena ana lalamika wakati duka kaachiwa aendeshe familia

Mwanamke wa pili:huyu aliondoka akabeba kila kitu akavunja na mlango ili kutoa vitu ndani kama masofa,baada ya miaka kama minne anaomba kurudi kwa mumewe

Hawa watu sijui huwa wanatuonaje
 
Wakuu nilimchukua mwanamke na kuishi nae kipindi cha miaka minne

Ila alikuja kubadilika baada ya kuanza kazi ambayo niliyomtafutia ili naye apate sehemu ya kupata ridhiki maana sio siri mimi kumpa kila kitu anachotaka siwezi sababu nina mambo mengi ya kufanya

Baada ya kuanza kazi nakuta siku kadili zinavyosogea ndivyo anazidi kubadili tabia yake ukimwambia kitu hakuelewi ndio kwanza anakupakizia makosa ilimradi mbishane na uonekane ww mkosefu

Yote kwa yote nikawa nime busy Kweny mambo yangu nakuta kila tukigombana anakimbilia tuachane nilishindwa kumruhusu mapema sababu mm na yeye tumezaa nikihofia watoto wangu wasije wanateseka

Mwisho wa siku nakuta kaleta usafiri kakusanya vitu karudi kwao ila watoto wangu nikaamua wabakie kwangu

Saiz ni miez mitatu imepita japo kuwa hata kipindi yupo kwao nikawa na mbembeleza lakini akasema naitaji kupumzika kwanza alafu nitarudi nikasema kama ni hivyo ngoja nikuachie ufanye mambo yako nikavuta mtoto mzuri wakunituliza yaani anakuja gheto usiku asubuhi anasepa

Sasa
Juzi kanipigia simu anataka ni mpelekee huduma sasa wakuu hiyo huduma napeleka vipi, ikiwa watoto ninao mwenyewe japo kuwa ni kweli ni mke wangu na isitoshe yeye anaenda kazini ila pale anapoishi anafamilia nyingine inamuegemea yaani wadogo zake wameoa ila baada kuona dada karudi basi ni mseleleko, sasa sijajua majukumu yamemzidi hapo hom kwake

Na mpaka sasa sijamjibu akinipigia sipokei na hata sms zake sijibu je nipo sahihi au nimezingua
Muhudumie kiroho poa.
 
Mkuu, maisha yanahitaji maamuzi ya kiume sana. Kwa jinsi unavyoeleza, mwanamke huyo anajua kama unampenda sana na huwezi kumuacha. Hebu move on, sometimes maisha yanahitaji maamuzi magumu kwa ajili ya furaha binafsi.
 
Wakuu nilimchukua mwanamke na kuishi nae kipindi cha miaka minne

Ila alikuja kubadilika baada ya kuanza kazi ambayo niliyomtafutia ili naye apate sehemu ya kupata ridhiki maana sio siri mimi kumpa kila kitu anachotaka siwezi sababu nina mambo mengi ya kufanya

Baada ya kuanza kazi nakuta siku kadili zinavyosogea ndivyo anazidi kubadili tabia yake ukimwambia kitu hakuelewi ndio kwanza anakupakizia makosa ilimradi mbishane na uonekane ww mkosefu

Yote kwa yote nikawa nime busy Kweny mambo yangu nakuta kila tukigombana anakimbilia tuachane nilishindwa kumruhusu mapema sababu mm na yeye tumezaa nikihofia watoto wangu wasije wanateseka

Mwisho wa siku nakuta kaleta usafiri kakusanya vitu karudi kwao ila watoto wangu nikaamua wabakie kwangu

Saiz ni miez mitatu imepita japo kuwa hata kipindi yupo kwao nikawa na mbembeleza lakini akasema naitaji kupumzika kwanza alafu nitarudi nikasema kama ni hivyo ngoja nikuachie ufanye mambo yako nikavuta mtoto mzuri wakunituliza yaani anakuja gheto usiku asubuhi anasepa

Sasa
Juzi kanipigia simu anataka ni mpelekee huduma sasa wakuu hiyo huduma napeleka vipi, ikiwa watoto ninao mwenyewe japo kuwa ni kweli ni mke wangu na isitoshe yeye anaenda kazini ila pale anapoishi anafamilia nyingine inamuegemea yaani wadogo zake wameoa ila baada kuona dada karudi basi ni mseleleko, sasa sijajua majukumu yamemzidi hapo hom kwake

Na mpaka sasa sijamjibu akinipigia sipokei na hata sms zake sijibu je nipo sahihi au nimezingua
Watoto c unao wewe, endelea kuhudumia watoto wako, ikiwezekana MPE na block ya nguvu tu, ili aache usumbufu

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nilimchukua mwanamke na kuishi nae kipindi cha miaka minne

Ila alikuja kubadilika baada ya kuanza kazi ambayo niliyomtafutia ili naye apate sehemu ya kupata ridhiki maana sio siri mimi kumpa kila kitu anachotaka siwezi sababu nina mambo mengi ya kufanya

Baada ya kuanza kazi nakuta siku kadili zinavyosogea ndivyo anazidi kubadili tabia yake ukimwambia kitu hakuelewi ndio kwanza anakupakizia makosa ilimradi mbishane na uonekane ww mkosefu

Yote kwa yote nikawa nime busy Kweny mambo yangu nakuta kila tukigombana anakimbilia tuachane nilishindwa kumruhusu mapema sababu mm na yeye tumezaa nikihofia watoto wangu wasije wanateseka

Mwisho wa siku nakuta kaleta usafiri kakusanya vitu karudi kwao ila watoto wangu nikaamua wabakie kwangu

Saiz ni miez mitatu imepita japo kuwa hata kipindi yupo kwao nikawa na mbembeleza lakini akasema naitaji kupumzika kwanza alafu nitarudi nikasema kama ni hivyo ngoja nikuachie ufanye mambo yako nikavuta mtoto mzuri wakunituliza yaani anakuja gheto usiku asubuhi anasepa

Sasa
Juzi kanipigia simu anataka ni mpelekee huduma sasa wakuu hiyo huduma napeleka vipi, ikiwa watoto ninao mwenyewe japo kuwa ni kweli ni mke wangu na isitoshe yeye anaenda kazini ila pale anapoishi anafamilia nyingine inamuegemea yaani wadogo zake wameoa ila baada kuona dada karudi basi ni mseleleko, sasa sijajua majukumu yamemzidi hapo hom kwake

Na mpaka sasa sijamjibu akinipigia sipokei na hata sms zake sijibu je nipo sahihi au nimezingua
sasa kama watoto wamebaki kwako unapata presha ya nini?...nawe wa ajabu sana. umeishi na kimada miaka minne ukazaa naye, ameondoka tu umevuta kimada mwingine...unajichimbia mashimo kwa kukosa hekima na uvumilivu
 
Usije kumrudia huyo kadanganywa na wanaume hamna lolote hapo
Na tokea karud kwao kafubaa kwelikweli alikuwa mweupe saiv ni mweusi kama sufuria ya kuni mpaka namuogopa eti bado ananikazia ooh siwezi kurudi hapo kwako mpaka sijui
 
Mbona husemi ukweli kuwa umalaya wako na tabia zako mbaya ndo zimemfanya mke wako aondoke?
Yaani mama kabisa aache nyumba yake na watoto bila sababu ya msingi?
We naijua hiyo wadanganye wengine.
Baadhi ya nyinyi wanaume wapuuzi sana ukioa, mkapata watoto basi ukiwa na vijisenti unaona umalaya na kero halali yako.
Embu acha kushupaza shingo badilika, kamfate mkeo huko.
Kwanza we mwanaume gani una watoto unalea na bado unaingiza mwanamke usiku na kumtoa asubuhi?
Nadhani unafurahia mkeo ameondoka hakubani tena.
Ni maoni na mtazamo wako siwez kupinga coz hukuwa kujiran yangu
 
Wanawake wanawake wanawake huwa wanajihis watu special sana

Mifano mingine hii hapa
Mwanamke wa kwanza:kaenda ustawi kuwa jamaa hamhudumii na watoto,huko ustawi akaomba apewe usimamizi wa duka la mumewe kama mume hatak kutoa matumiz kwel bhana mwanaume mwsho wa siku kalitoa duka kamkabidhi ila jamaa akakata kabisa kupeleka chakula nyumban,mwanamke tena ana lalamika wakati duka kaachiwa aendeshe familia

Mwanamke wa pili:huyu aliondoka akabeba kila kitu akavunja na mlango ili kutoa vitu ndani kama masofa,baada ya miaka kama minne anaomba kurudi kwa mumewe

Hawa watu sijui huwa wanatuonaje
Kumbe siko peke yangu
 
Mbona husemi ukweli kuwa umalaya wako na tabia zako mbaya ndo zimemfanya mke wako aondoke?
Yaani mama kabisa aache nyumba yake na watoto bila sababu ya msingi?
We naijua hiyo wadanganye wengine.
Baadhi ya nyinyi wanaume wapuuzi sana ukioa, mkapata watoto basi ukiwa na vijisenti unaona umalaya na kero halali yako.
Embu acha kushupaza shingo badilika, kamfate mkeo huko.
Kwanza we mwanaume gani una watoto unalea na bado unaingiza mwanamke usiku na kumtoa asubuhi?
Nadhani unafurahia mkeo ameondoka hakubani tena.
Na huu ndio ukweli mchungu.
 
Mimi mwanamke wangu akiondoka kwa sababu yoyote ile lazima apishane na mwenzake getini.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo hapo unaomba ushauri juu ya nini???? Hivi mwanaume unampendaje mwanamke mpaka unaku tahiraa hivii??? Sasa ulishindwaa kumtukana vip alipokwambia hup upuuzi... daah unatia hasiraa sanaaa...
Ulitaka ampende kimasihara eti?
 
Wakuu nilimchukua mwanamke na kuishi nae kipindi cha miaka minne

Ila alikuja kubadilika baada ya kuanza kazi ambayo niliyomtafutia ili naye apate sehemu ya kupata ridhiki maana sio siri mimi kumpa kila kitu anachotaka siwezi sababu nina mambo mengi ya kufanya

Baada ya kuanza kazi nakuta siku kadili zinavyosogea ndivyo anazidi kubadili tabia yake ukimwambia kitu hakuelewi ndio kwanza anakupakizia makosa ilimradi mbishane na uonekane ww mkosefu

Yote kwa yote nikawa nime busy Kweny mambo yangu nakuta kila tukigombana anakimbilia tuachane nilishindwa kumruhusu mapema sababu mm na yeye tumezaa nikihofia watoto wangu wasije wanateseka

Mwisho wa siku nakuta kaleta usafiri kakusanya vitu karudi kwao ila watoto wangu nikaamua wabakie kwangu

Saiz ni miez mitatu imepita japo kuwa hata kipindi yupo kwao nikawa na mbembeleza lakini akasema naitaji kupumzika kwanza alafu nitarudi nikasema kama ni hivyo ngoja nikuachie ufanye mambo yako nikavuta mtoto mzuri wakunituliza yaani anakuja gheto usiku asubuhi anasepa

Sasa
Juzi kanipigia simu anataka ni mpelekee huduma sasa wakuu hiyo huduma napeleka vipi, ikiwa watoto ninao mwenyewe japo kuwa ni kweli ni mke wangu na isitoshe yeye anaenda kazini ila pale anapoishi anafamilia nyingine inamuegemea yaani wadogo zake wameoa ila baada kuona dada karudi basi ni mseleleko, sasa sijajua majukumu yamemzidi hapo hom kwake

Na mpaka sasa sijamjibu akinipigia sipokei na hata sms zake sijibu je nipo sahihi au nimezingua
Ebu kuwa mwanaume, hakuna mwanamke anaweza kuondoka kwa mume wake kama hajapata mchepuko. Sasa baada ya mchepuko kuona anatakiwa kumtunza kachomoa sasa anataka umpe hela.
Utakuwa mpumbavu sana ukimsikiliza huyo Delilah. Pokea simu mwambie wazi kwamba humpi hayo matunzo na asirudi hapo.
 
Na tokea karud kwao kafubaa kwelikweli alikuwa mweupe saiv ni mweusi kama sufuria ya kuni mpaka namuogopa eti bado ananikazia ooh siwezi kurudi hapo kwako mpaka sijui nn
Kapauka sababu yule jamaa yake kakimbia majukumu.
Achana nae lea watoto. Tafuta house girl mlipe vizuri.
 
Wakuu nilimchukua mwanamke na kuishi nae kipindi cha miaka minne

Ila alikuja kubadilika baada ya kuanza kazi ambayo niliyomtafutia ili naye apate sehemu ya kupata ridhiki maana sio siri mimi kumpa kila kitu anachotaka siwezi sababu nina mambo mengi ya kufanya

Baada ya kuanza kazi nakuta siku kadili zinavyosogea ndivyo anazidi kubadili tabia yake ukimwambia kitu hakuelewi ndio kwanza anakupakizia makosa ilimradi mbishane na uonekane ww mkosefu

Yote kwa yote nikawa nime busy Kweny mambo yangu nakuta kila tukigombana anakimbilia tuachane nilishindwa kumruhusu mapema sababu mm na yeye tumezaa nikihofia watoto wangu wasije wanateseka

Mwisho wa siku nakuta kaleta usafiri kakusanya vitu karudi kwao ila watoto wangu nikaamua wabakie kwangu

Saiz ni miez mitatu imepita japo kuwa hata kipindi yupo kwao nikawa na mbembeleza lakini akasema naitaji kupumzika kwanza alafu nitarudi nikasema kama ni hivyo ngoja nikuachie ufanye mambo yako nikavuta mtoto mzuri wakunituliza yaani anakuja gheto usiku asubuhi anasepa

Sasa
Juzi kanipigia simu anataka ni mpelekee huduma sasa wakuu hiyo huduma napeleka vipi, ikiwa watoto ninao mwenyewe japo kuwa ni kweli ni mke wangu na isitoshe yeye anaenda kazini ila pale anapoishi anafamilia nyingine inamuegemea yaani wadogo zake wameoa ila baada kuona dada karudi basi ni mseleleko, sasa sijajua majukumu yamemzidi hapo hom kwake

Na mpaka sasa sijamjibu akinipigia sipokei na hata sms zake sijibu je nipo sahihi au nimezingua
Inaonekana alipata Kidume kingine+ Mshahara akajiona kuwa ana shida na wewe yaani wewe kwake Ume expire! Kwa sasa Jamaa aliemzuzua mpaka wewe kuonekana wa nini ,Kashamtosa sasa anakumbuka Shuka asubuhi. Kwa kuwa umeweza kaa na Watoto wako kwa muda bila yeye! Achana nae- Ukimrudisha akikaa sawa atarudia ujinga wake tena(jasiri aachi Asili) Endelea mbela Nyuma mwiko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom