Mamsapu nilimfungia ndani, maana tulikuwa hatuelewani kabisa!....nikaona ataleta usaliti tu..ckuwa na jinsi zaidi ya kumfungia chumba cha ndani hadi saa kumi nikamtoa exile..
Habari za asubuhi hii wana MMU.
Natumaini hamjambo na poleni na majukumu ya kila siku.
Jana nikiwa nimetulia na mpenzi wangu tunazungumza mambo ya hapa na pale ikiwemo suala la umeme ku katika katika bila sababu nilianza kulaumu watu walokataa mabadiriko.
Then, Nilimuuliza, hivi siku ya kupiga kura ulimpigia nani? Hapo ndio story ilipoanzia.
Kaanza kwa kusema, baby naomba unisamehe saaana, nikamuuliza why, akasema nilimpigia kura Magufuri, daaaah nilichoka hapo hapo. Nikamuuliza kwanini umenisaliti wakati tulikubaliana? Amekosa jibu. Badae akasema nilichanganyikiwa tu nikajikuta nimetiki kwa Mapombe. Sijalizika na majibu hata kidogo maana wote tulikuwa tunataka mabadiriko.
Inaelekea kuna mtu alimshawishi akasaliti maagizo yangu na makubaliano yetu. Ninachojiuliza kama katika jambo muhimu kama hili ameweza kunisaliti je kuna mambo mangapi ambayo ashawahi kunisaliti na sijui. Kwakweli ameniudhi sana.
Pia nimegundua kuna uwezekano watu kama huyu wako wengi walotusaliti tar 25/10 ingawa walionyesha kutusupport.
Naomba ushauri, niendelee nae au nimpige chini lasimi leo hii jioni. Na kama yumo humu ndo hivyo ajipange maana ashaharibu.
sasa kwani wee hujui kuwa mpango wa kweli wa uumbaji ni mbele kwa mbele..!? au unajitia wazimu uhalalishe mbele kwa nyuma..!?
:majani7:😛eace::msela:
Habari za asubuhi hii wana MMU.
Natumaini hamjambo na poleni na majukumu ya kila siku.
Jana nikiwa nimetulia na mpenzi wangu tunazungumza mambo ya hapa na pale ikiwemo suala la umeme ku katika katika bila sababu nilianza kulaumu watu walokataa mabadiriko.
Then, Nilimuuliza, hivi siku ya kupiga kura ulimpigia nani? Hapo ndio story ilipoanzia.
Kaanza kwa kusema, baby naomba unisamehe saaana, nikamuuliza why, akasema nilimpigia kura Magufuri, daaaah nilichoka hapo hapo. Nikamuuliza kwanini umenisaliti wakati tulikubaliana? Amekosa jibu. Badae akasema nilichanganyikiwa tu nikajikuta nimetiki kwa Mapombe. Sijalizika na majibu hata kidogo maana wote tulikuwa tunataka mabadiriko.
Inaelekea kuna mtu alimshawishi akasaliti maagizo yangu na makubaliano yetu. Ninachojiuliza kama katika jambo muhimu kama hili ameweza kunisaliti je kuna mambo mangapi ambayo ashawahi kunisaliti na sijui. Kwakweli ameniudhi sana.
Pia nimegundua kuna uwezekano watu kama huyu wako wengi walotusaliti tar 25/10 ingawa walionyesha kutusupport.
Naomba ushauri, niendelee nae au nimpige chini lasimi leo hii jioni. Na kama yumo humu ndo hivyo ajipange maana ashaharibu.
Tushachoka maswala ya Lowassa na Magufuli humu

Sikutegemea mtoa mada angepata support kwa ujinga aliouleta.