Amejificha au wamemficha?

Damu zilizomwagwa 29.10.2025 bado zinaendelea ku-search, ila likifungwa goli kama la Mpanzu nitashindwa kuficha furaha yangu kama kunikamata wanikamate tu lakini nitafanya sherehe kubwa.
Haha,
We jifungie mahali kula vinywaji na minyama ya kutosha. Sidhani kama kuna wa kukudhuru maana majority watashereka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…