Amejificha au wamemficha?

Hakuna upuuzi wa namna hiyo tena hapa. Imetosha.

Safari hii ni kusafisha uchafu wote; hakuna kitakachobaki. Hata mizoga inayooza mitaani kama akina Tlaatlaah, hutaiona tena mahali popote.
 
Mpuuzi kama wewe unataka nini!Huna unalojuwa ila kufugwa tu kama nguruwe na huyo unayedhani ni mubgu wako.
Subiri wakati wenu wa kulia na kusaga meno unakuja.
Haya maneno sio mapya hapa JF.
Kuna yule mwenzako alikuwa anajiita Lord Manini sijui. Alikuwa na kauli za kiboya kama zako lakini mwisho wa siku kayeyuka kama alivyoondoshwa Nchimbi madarakani.

I am not a big fan of mikwara ya mitandaoni. Kama unajiamini wewe mwanaume, fanya kweli nchi nzima isimame.
 
Maza uongozi wake ushakuwa na na nuksi, heka heka kibao. Mara hili, mara lile, kafa huyu, kafa yule. Toa huyu, weka yule. Ua huyu, ua yule. Mashambulizi kila angle. Ni kama kuna kimav* hivi.
Lazima kimwili na kiroho kuwe na shida, maana mwili na roho vinakutana na heka heka kila uchao. Na kwa age kama ile misikosuko ikizidi sana jau.
 
Kuna muhuni anaitwa mudi boy ,tapeli ndiyo wanafuata muongozo wake , KWAMBA HUYO NZI WAMZAMISHE KABISA NA KUMCHOVYA CHOVYA KWA KUWA MUDI BOY KASEMA UBAWA MMOJA WA NZI UNA MAGONJWA NA UBAWA WA PILI NI DAWA ... adriz Malaria 2 Jagina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…