Assadillah
Senior Member
- Mar 18, 2024
- 112
- 187
Mkuu unaweza tu kuchangia uzi pasipo kukashifu imani za watu wengine. Haiwezi kukupunguzia chochote. Ni ushauri tu.Samahani kama nitakuwa nimekukwaza mkuu🙏Kama kuna mtafiti kapoteza muda wake kutafiti huo ushuzi wa mudi boy na Allah wake..basi huyo mtafiti lazima atakuwa na geto milembe.
Hawatajua wamkamate nani waache nani maana Tanganyika yote itakuwa inarindima kwa shangwe la ajabu, beer zinatanywewa sana mbuzi nao watalika sana wenye kungonoka ndiyo magesti yote yatakuwa full booked.Haha,
We jifungie mahali kula vinywaji na minyama ya kutosha. Sidhani kama kuna wa kukudhuru maana majority watashereka sana
Kwa hiyo kusema ujweli ni kashifa? Habari za jua kuzama kwenye tope siyo upumbavu mtupuMkuu unaweza tu kuchangia uzi pasipo kukashifu imani za watu wengine. Haiwezi kukupunguzia chochote. Ni ushauri tu.Samahani kama nitakuwa nimekukwaza mkuu🙏
Instagram nimeona anampokea balozi wa Quwait, sijui ni kwel au video ya zamani.Maiti itapelekwa kzmkazi
Hata kama Mimi siamini kwamba mnayoyazungumzia ni sasa yanapaswa kutokeahawez kuwa salama wala kurudi salama kwa sababu zifuatazo:
1. alivuruga uchaguzi
2. aliua maelef ya wananchi
3. hakushinda uchaguzi
4. hapendwi na wananchi
5. ameshiriki yeye na vibaraka wake kuua, kuteka na kupoteza raia wengi
6. ameua baadhi ya viongozi wenzake
7. aliamuru kuuawa kwa namba mbili.. majarinio mawili yalishindwa mwisho akaachi ngazi kuokoa maisha yake
8. amemuweka mwenzake under house arrest
9. amefuja na kuwamaliza wenzake
10. kwa hila amemfunga mtu mwenye akili kuzidi wote serikalini.. Lissu
kw sababu hizo upepo upande wake unavuma vibaya sana
Unajisikiaje Kuandika Utoko Huu???Sote tunafahamu ya kwamba wameboresha mno kitengo cha propaganda hasa kwenye eneo la kutengeneza sinema zetu.. Japo hazina ubora lakini wanajitahidi Sana!
Hofu kuu ikitajwa kama 92OM...!
Je ni hofu?
Je ni woga?
Je ni wasiwasi?
Je ni jakamoyo?
Ya kwamba ninini kitatokea na hatima yake ni ipi?
Kitengo kiko kazini na hakuna kulala
Kama kuna watu wanakula mpaka wanavimbiwa na kusaza.. Kitengo kinafaa kuingizwa kwenye Guiness the book of records!
Masantula wamempeleka kwa malikia ili wamkaange vizuri.. Akirejea ngamani atajikuta keshaiva bila kujua alipikwa saa ngapi!
Hata kama ana gonjeka.. Lakini kupangwa kupo!. Hata ile ya akili mnemba ilitengenezwa makusudicallyView attachment 3689539
Tumia akili kutambua hiyo lugha na maana yake ...
“Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.”
That's why naipenda fasihi yenye kufikirisha medulla,❗❕🤣💖Mshana Jr mzamishe kwanza huyo nzi kwenye maziwa kisha mtoe Unywe Hiyo chai yako ya maziwa, maana Nzi Bawa moja kabeba sumu na moja kabeba Dawa, so Sumu ikitune na Tiba moja kwa moja alafu ndipo utajua kuwa hata hizi mbio za Mwalimu wa darasa la pili "Paul Madaladala", Kuanza kufundisha hadi Chuo kikuu wakati nafasi yake ni Mwalimu wa shule ya msingi ni sehemu ya hofu ya Mkutano mkuu wa "92OM", kule nchini Malawi.
Acha wamweke pembeni tuu. Yeye alidhani kupambana na upinzani, wanaharakati na kubariki dhambi ndio job description yake. Kuna dogo ameshaanza kutufokea huko kama namna ya kupiga jalamba !!Sote tunafahamu ya kwamba wameboresha mno kitengo cha propaganda hasa kwenye eneo la kutengeneza sinema zetu.. Japo hazina ubora lakini wanajitahidi Sana!
Hofu kuu ikitajwa kama 92OM...!
Je ni hofu?
Je ni woga?
Je ni wasiwasi?
Je ni jakamoyo?
Ya kwamba ninini kitatokea na hatima yake ni ipi?
Kitengo kiko kazini na hakuna kulala
Kama kuna watu wanakula mpaka wanavimbiwa na kusaza.. Kitengo kinafaa kuingizwa kwenye Guiness the book of records!
Masantula wamempeleka kwa malikia ili wamkaange vizuri.. Akirejea ngamani atajikuta keshaiva bila kujua alipikwa saa ngapi!
Hata kama ana gonjeka.. Lakini kupangwa kupo!. Hata ile ya akili mnemba ilitengenezwa makusudicallyView attachment 3689539
Weka linkInstagram nimeona anampokea balozi wa Quwait, sijui ni kwel au video ya zamani.
umeitoa kwenye kitabu gani cha kujifariji? Maana unayejipa hiyo 'coolness' ndiye uliyeumia zaidi."Never dignify a rude comment with a rude reply. Always keep your cool when dealing with a fool."
Ameonekana?Huwenda akaonekana kwenye kilele cha mbio za mwenge, Sumbawanga