Amegundua Mchumba anatembea na Mchungaji

kwa utetezi wake akadai mara ya mwisho wamefanya na mchungaji kama miezi mitatu iliyopita baada ya ibada
Ulisikia wapi mdangaji ana mara ya mwisho? Huyo manzi kwa mujibu wa maelezo ni mdangaji hakuna kwamba anafanya huruma (mama huruma) kumpa papa mchungaji wala nini jibu rahisi ni anadanga
 
Anaomba ushauri
Ushauri ni huu amuache huyo mdangaji aendelee kudanga asije akaja kutuletea uzi mwingine humu wa kuomba kushauriwa kuhusu mimba ya mchungaji, piga chini huyo mdangaji tafuta mwingine
 
asikilizie kwanza kwa miezi kadhaa kama kweli ameachana na mchungaji wake
Unasikilizia nini? Unataka kufa kwa presha kisa nini? Ukigundua meseji zingine akimuelezee ya Ndani zaidi jinsi mchungaji anavyomfukua mt*ro ndio utafurahi na roho yako au sio?
 
japo anadai anampenda sana huyo binti na binti ameomba asimuache bali amsaidie ili aweze kutoka kwenye hiyo hali maana na yeye haipendi
Hakuna kitu km hicho mkuu ng'atuka hapo utaja bebeshwa mimba na mtoto wa mchungaji, mlamba asali halambi mara moja na hua hana mwisho, huyo kashalamba mb*o ya mchungaji hatoacha kamwe
 
Pia binti anasema kuokoka ameanzia hapo kwa huyo mchungaji wakati wakiwa mkoani
Buhahaha kuokoka? Kuokoka kupi na huku anagongwa na mchungaji hivi mnafikiri kuokoka ni maigizo? Unaokoka huku unazini na mchungaji? Does it make sense? Au ndio staili yao ya kuokoka hio wanaokoka alafu wanakua vyakula vya wachungaji?
 
Jamaa yangu amenieleza jambo nimeshindwa kumjibu chochote nisije nikakosea kumshauri akanilaumu hapo baadae.

Iko hivi, huyu bwana ana mahusiano na msichana wake takribani miezi sita sasa. Anasema anampenda sana huyo msichana na msichana anampenda jamaa sana kiasi kwamba ameshawishika ikiwezekane aje kuwa mke.

Katika mahusiano yao amekuwa akimdodosa kujua kama huyo msichana ameshakuwa na mchumba kabla au mwanaume mwingine kabla yake kwa hapa Dar, msichana kasema hajawahi kuwa na mwanaume toka afike Dar mwaka wa pili sasa, akamuuliza kwanini akasema kwasababu aliamua kuokaka na anasali kanisa moja la kilokole maeneo ya kinyerezi-kifuru japo jamaa hajawahi kufika hapo kanisani. Jamaa akafurahi sana kwamba hapa nimepata mke sahihi.

Lakini baadae akawa anamtilia mashaka kwamba mbona anaonesha kuwa ana mawasiliano ya siri sana na mtu asiyemjua, alipo kuja kumbana haswa na kumtishia kumuacha akakiri kuwa alikuwa akitembea na Mchungaji wake ila aliona hatia moyoni mwake kutembea na mchungaji akaamua kumuacha japo mchungaji anaendelea kusumbua.

Akamuuliza ulianza nae lini na umemuacha lini ili ajue wanawasiliana kama mpenzi au kama mtumishi wake tu maana wanawasiliana mara kwa mara na mchungaji wake mpaka usiku maana binti anaimba kwaya na anahusika hapo kanisani kwa shughuli zingine za kanisa.

Anasema akadai kwamba amekuwa nae toka akiwa mkoani miaka miwili iliyopita huyo mchungaji ana kanisa huko mkoani nae alikuwa anasali hapo. Pia amefungua lingine huku Dar, Binti yeye alitangulia kuja dar kwa shughuli zake za kutafuta maisha ndipo mchungaji alihamia Dar akafungua kanisa nakuwatafuta watu wake aliokuwa nao mkoani ili waendeleze kanisa ndo akamtafuta na yeye.

Pia akadai kuwa mchungaji amekuwa akimlazimisha tu kufanya hivyo japo yeye hapendi na amefanya nae kama mara tano tu nyumbani kwake maana mtumishi anaishi mwenyewe familia yake yaani mke na watoto amewaacha mkoani huwa anaenda na kurudi, kwa utetezi wake akadai mara ya mwisho wamefanya na mchungaji kama miezi mitatu iliyopita baada ya ibada ofisini kwake kwasababu alimlazimisha tu akashindwa kukataa. Ila sasa ameamua kumuacha huyo mchungaji rasmi na kuwa na jamaa, japo mshikaji majuzi kaona meseji ya mchungaji kwa binti akimwambia nakupenda sana ila binti hajajibu lolote.

Anaomba ushauri aendelee na mipango yake maana hivi karibuni mwezi wa saba alitaka kwenda kujitambulisha au asikilizie kwanza kwa miezi kadhaa kama kweli ameachana na mchungaji wake, au amteme tu, japo anadai anampenda sana huyo binti na binti ameomba asimuache bali amsaidie ili aweze kutoka kwenye hiyo hali maana na yeye haipendi Pia binti anasema kuokoka ameanzia hapo kwa huyo mchungaji wakati wakiwa mkoani, kwahiyo mchungaji amekuwa kama mlezi wake kwa muda mrefu kama miaka minne sasa.

Je atafanikiwa kuachana na huyo mchungaji.?

Ushauri wenu tafadhali.
Mwambie jamaa yako (kama siyo wewe lakini), ampige marufuku huyo binti kusali kwenye hilo kanisa la huyo mchungaji!

Na pia akate mawasiliano na mahusiano yote na huyo mchungaji. Ikiwezekana abadili mpaka line ya simu.
Akigoma kufanya hivyo, basi atambue fika hakuna mwanamke hapo! Isipokuwa kuna mchepuko tu wa mchungaji.
 
Anasema akadai kwamba amekuwa nae toka akiwa mkoani miaka miwili iliyopita huyo mchungaji ana kanisa huko mkoani nae alikuwa anasali hapo.
Piga chini mapeeema sana hakuna mke wala mchungaji wote wazinifu tu
 
Huyo dem boya sana.
Kati ya vitu wanawake hukosea ni kusema ukweli juu ya uchepukaji wao kwa mwanaume wakiamini eti ndo ataaminiwa na kupendwa zaidi..

Wanaume kusamehe kwenye kuchapiwa ni kazi kinoma, ndio maana sio poa kuongelea mahusiano yako yaliyopita.
 
Jamaa yangu amenieleza jambo nimeshindwa kumjibu chochote nisije nikakosea kumshauri akanilaumu hapo baadae.

Iko hivi, huyu bwana ana mahusiano na msichana wake takribani miezi sita sasa. Anasema anampenda sana huyo msichana na msichana anampenda jamaa sana kiasi kwamba ameshawishika ikiwezekane aje kuwa mke.

Katika mahusiano yao amekuwa akimdodosa kujua kama huyo msichana ameshakuwa na mchumba kabla au mwanaume mwingine kabla yake kwa hapa Dar, msichana kasema hajawahi kuwa na mwanaume toka afike Dar mwaka wa pili sasa, akamuuliza kwanini akasema kwasababu aliamua kuokaka na anasali kanisa moja la kilokole maeneo ya kinyerezi-kifuru japo jamaa hajawahi kufika hapo kanisani. Jamaa akafurahi sana kwamba hapa nimepata mke sahihi.

Lakini baadae akawa anamtilia mashaka kwamba mbona anaonesha kuwa ana mawasiliano ya siri sana na mtu asiyemjua, alipo kuja kumbana haswa na kumtishia kumuacha akakiri kuwa alikuwa akitembea na Mchungaji wake ila aliona hatia moyoni mwake kutembea na mchungaji akaamua kumuacha japo mchungaji anaendelea kusumbua.

Akamuuliza ulianza nae lini na umemuacha lini ili ajue wanawasiliana kama mpenzi au kama mtumishi wake tu maana wanawasiliana mara kwa mara na mchungaji wake mpaka usiku maana binti anaimba kwaya na anahusika hapo kanisani kwa shughuli zingine za kanisa.

Anasema akadai kwamba amekuwa nae toka akiwa mkoani miaka miwili iliyopita huyo mchungaji ana kanisa huko mkoani nae alikuwa anasali hapo. Pia amefungua lingine huku Dar, Binti yeye alitangulia kuja dar kwa shughuli zake za kutafuta maisha ndipo mchungaji alihamia Dar akafungua kanisa nakuwatafuta watu wake aliokuwa nao mkoani ili waendeleze kanisa ndo akamtafuta na yeye.

Pia akadai kuwa mchungaji amekuwa akimlazimisha tu kufanya hivyo japo yeye hapendi na amefanya nae kama mara tano tu nyumbani kwake maana mtumishi anaishi mwenyewe familia yake yaani mke na watoto amewaacha mkoani huwa anaenda na kurudi, kwa utetezi wake akadai mara ya mwisho wamefanya na mchungaji kama miezi mitatu iliyopita baada ya ibada ofisini kwake kwasababu alimlazimisha tu akashindwa kukataa. Ila sasa ameamua kumuacha huyo mchungaji rasmi na kuwa na jamaa, japo mshikaji majuzi kaona meseji ya mchungaji kwa binti akimwambia nakupenda sana ila binti hajajibu lolote.

Anaomba ushauri aendelee na mipango yake maana hivi karibuni mwezi wa saba alitaka kwenda kujitambulisha au asikilizie kwanza kwa miezi kadhaa kama kweli ameachana na mchungaji wake, au amteme tu, japo anadai anampenda sana huyo binti na binti ameomba asimuache bali amsaidie ili aweze kutoka kwenye hiyo hali maana na yeye haipendi Pia binti anasema kuokoka ameanzia hapo kwa huyo mchungaji wakati wakiwa mkoani, kwahiyo mchungaji amekuwa kama mlezi wake kwa muda mrefu kama miaka minne sasa.

Je atafanikiwa kuachana na huyo mchungaji.?

Ushauri wenu tafadhali.
Usioe mke wa mtu,tafuta wako.
 
Ukijua kuna mtu mlikuw mnashea nae mapenz kwa wakat mmoja na unamalengo ya kuchumbia au kuoa achana nae kbsa ni bora usijue ukshajua litakusumbua
 
Back
Top Bottom