Amegundua Mchumba anatembea na Mchungaji

Amegundua Mchumba anatembea na Mchungaji

Hapo hakuna mchumba wa kuanza naye maisha hajaambiwa ukweli wote.
Binti hakuja Dar kutafuta maisha wakakutana katika kukusanya waamini,
Aliletwa Dar na mchungaji kuendeleza walilo anzisha kijijini.
Alafu hakuna mazingira ya mtu kulazimishwa Mapenzi alafu mnawasiliana tena kwa kificho ili usionekane na mchumba(tumia kichwa vizuri)

Kama kweli alikupenda angeenda kwa mchungaji amwambie wewe una Mke na Mimi nimepata mchumba tuachane usinipigie/ mawasiliano yaishe.
Baba kupedwa siyo maneno ni vitendo zaidi
Hapo hata kuwaza hamna ,eti ameokokea kwa mchungaji huyo ,kwa kunyanduana?

Kwa hiyo anaamini kwa kumfadhili Mchungaji uroda ameokoka ataenda Mbinguni?
Au kwa lugha halisi kwa kufanya umalaya na Mchunga anatoa huduma naye ya utumishi
Wanafanya mawasiliano usiku siyo kwa ajili ya shuhuli ya kanisa ni minyanduano.

Kama alipata ujasiri wa kutembea naye kijijini alipokuwa Mke wa mchungaji vipi mjini wako wenyewe!?
Hapo umeambia asilimia 2 tu .

Ukitaka kufurahi nawe jiunge uwe muumini wa mchungaji uone anavyo omba vizuri na kububujikwa na Machozi baada ya Roho Mtakakitu sijakosea( Mtakakitu) anapo mshukia,tena atakemea wazinzi Alafu akimaliza anamwita Demu wako wanaondoka
Ndio utajua shetani anaishi wapi na anauwezo wa kujibadili.
Nb Tupunguze tutumie vichwa vyetu kuwaza
 
Kwa kweli mi mwenyewe imenitafakarisha sana tena wanauwezo wa kufanya mpaka ofisi baada ya ibada, hata jamaa anashindwa kuelewa maana kitendo cha kufanyia ofisini ni cha dakika tu wanajikausha, binti anarudi nyumbani kama hajafanya chochote kile.
Japo alisema mchungaji anamega pia rafiki wa huyo binti, hivyo anawachanganya huku wakijijua.
Dah shida sana!
 
Najua ni wewe pole sana ina uma sana kujua kama dem wako Ali liwa tena hadi ofisini imagine
 
hivi wewe? Yaani kondoo wake halafu apangiwe? Kufungisha ndoa atafungisha ila kula ni pale pale tu, hiyo ni kama ile mchungaji akitaka gari anachangiwa hadi na wewe ila wewe ukitaka gari utaombewa tu eti mungu atakusaidia tu utapata. Hii dunia bwana
Mkuu hukuneewa tu, niliongea kwa mafumbo. Kwamwambia jamaa amuoe huyo binti haraka ili mchungaji aambulie patupu nilimaanisha, jamaa hajielewi kwa %101. Huwezi kushindwa kufanya maamuzi kwenye jambo kama hilo ni upuuzi tu
 
Jamaa yangu amenieleza jambo nimeshindwa kumjibu chochote nisije nikakosea kumshauri akanilaumu hapo baadae.

Iko hivi, huyu bwana ana mahusiano na msichana wake takribani miezi sita sasa. Anasema anampenda sana huyo msichana na msichana anampenda jamaa sana kiasi kwamba ameshawishika ikiwezekane aje kuwa mke.

Katika mahusiano yao amekuwa akimdodosa kujua kama huyo msichana ameshakuwa na mchumba kabla au mwanaume mwingine kabla yake kwa hapa Dar, msichana kasema hajawahi kuwa na mwanaume toka afike Dar mwaka wa pili sasa, akamuuliza kwanini akasema kwasababu aliamua kuokaka na anasali kanisa moja la kilokole maeneo ya kinyerezi-kifuru japo jamaa hajawahi kufika hapo kanisani. Jamaa akafurahi sana kwamba hapa nimepata mke sahihi.

Lakini baadae akawa anamtilia mashaka kwamba mbona anaonesha kuwa ana mawasiliano ya siri sana na mtu asiyemjua, alipo kuja kumbana haswa na kumtishia kumuacha akakiri kuwa alikuwa akitembea na Mchungaji wake ila aliona hatia moyoni mwake kutembea na mchungaji akaamua kumuacha japo mchungaji anaendelea kusumbua.

Akamuuliza ulianza nae lini na umemuacha lini ili ajue wanawasiliana kama mpenzi au kama mtumishi wake tu maana wanawasiliana mara kwa mara na mchungaji wake mpaka usiku maana binti anaimba kwaya na anahusika hapo kanisani kwa shughuli zingine za kanisa.

Anasema akadai kwamba amekuwa nae toka akiwa mkoani miaka miwili iliyopita huyo mchungaji ana kanisa huko mkoani nae alikuwa anasali hapo. Pia amefungua lingine huku Dar, Binti yeye alitangulia kuja dar kwa shughuli zake za kutafuta maisha ndipo mchungaji alihamia Dar akafungua kanisa nakuwatafuta watu wake aliokuwa nao mkoani ili waendeleze kanisa ndo akamtafuta na yeye.

Pia akadai kuwa mchungaji amekuwa akimlazimisha tu kufanya hivyo japo yeye hapendi na amefanya nae kama mara tano tu nyumbani kwake maana mtumishi anaishi mwenyewe familia yake yaani mke na watoto amewaacha mkoani huwa anaenda na kurudi, kwa utetezi wake akadai mara ya mwisho wamefanya na mchungaji kama miezi mitatu iliyopita baada ya ibada ofisini kwake kwasababu alimlazimisha tu akashindwa kukataa. Ila sasa ameamua kumuacha huyo mchungaji rasmi na kuwa na jamaa, japo mshikaji majuzi kaona meseji ya mchungaji kwa binti akimwambia nakupenda sana ila binti hajajibu lolote.

Anaomba ushauri aendelee na mipango yake maana hivi karibuni mwezi wa saba alitaka kwenda kujitambulisha au asikilizie kwanza kwa miezi kadhaa kama kweli ameachana na mchungaji wake, au amteme tu, japo anadai anampenda sana huyo binti na binti ameomba asimuache bali amsaidie ili aweze kutoka kwenye hiyo hali maana na yeye haipendi Pia binti anasema kuokoka ameanzia hapo kwa huyo mchungaji wakati wakiwa mkoani, kwahiyo mchungaji amekuwa kama mlezi wake kwa muda mrefu kama miaka minne sasa.

Je atafanikiwa kuachana na huyo mchungaji.?

Ushauri wenu tafadhali.
Maandiko yanasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Mkuu hukuneewa tu, niliongea kwa mafumbo. Kwamwambia jamaa amuoe huyo binti haraka ili mchungaji aambulie patupu nilimaanisha, jamaa hajielewi kwa %101. Huwezi kushindwa kufanya maamuzi kwenye jambo kama hilo ni upuuzi tu
haya tuchukulia jamaa amemuoa haraka kama unavyodai, kwahiyo mchungaji atashindwa kumkula tena japo kaolewa?
 
Back
Top Bottom