haya wana JF Crispin, Fidel, na wengine haya sasa mshindwe nyinyi
Rafiki usifanye kosa lakutoa No. Yako katika mazingira haya. Kuna njia nyingi sana za mawasiliano zikiwemo pm's. Otherwise all the best in looking for a husband here. be ready for hundreds of aplicants! good enough you have provided your mobile no. hata hao wanakuponda watakutwangia tu!!
Na wewe si ulikuwa unatafuta mchumba? Vipi ulifanikiwa? Mbona hutupi matokeo?
Na wewe si ulikuwa unatafuta mchumba? Vipi ulifanikiwa? Mbona hutupi matokeo?
Lol huyo alikuwa anapima akili za watu anawachumba zaidi ya 10 stuka mpwa
Lol huyo alikuwa anapima akili za watu anawachumba zaidi ya 10 stuka mpwa
Btw, vipi wewe Dorin mbona hujatupa feedback? kati ya hao hundreds applicants ulipata hata mmoja?Rafiki usifanye kosa lakutoa No. Yako katika mazingira haya. Kuna njia nyingi sana za mawasiliano zikiwemo pm's. Otherwise all the best in looking for a husband here. be ready for hundreds of aplicants! good enough you have provided your mobile no. hata hao wanakuponda watakutwangia tu!!
Dah! Pole sana!Uko tayari kuwa mke wa pili?I really didnt get One! I have just given up completely!!
Btw, vipi wewe Dorin mbona hujatupa feedback? kati ya hao hundreds applicants ulipata hata mmoja?
Dah! Pole sana!Uko tayari kuwa mke wa pili?
Tatizo anaposema hachagui dini sina uhakika nalo kwani tujuavyo sisi waluther ndoa njema ni lazima iwe ya dini moja kama mkristo kwa mkristo au islam kwa islam na pagan kwa pagan.Tunataka kulea watoto katika maadili ya pande zote kwa baba na mama sasa wakiwa dini tofauti inakuwa mtihani mkubwa kwa watoto.
Pengo, mtoto wa kike akishafikia hapo ujue katumika ipasavyo sasa amechoka anataka kutulia, hapo kwa kweli uchaguzi/UBAGUZI wa dini kwake unakuwa haupo kabisa. Atamsubiri huyo mlutheri mpaka lini? asipokuja? siku hizi bana mapenzi hayaangalii dini wala nini, watu wanaoana tuu, muhimu ni mapenzi ya kweli kuliko kuwalazimisha kuona kwa kufuata dini wakati hakuna mapenzi ya kweli.
Naitwa Annie,23,mnene,maji ya kunde,si mrefu wala mfupi sana,elimu
yangu kdato cha 6,mkristo-lutheran.Natafuta mchumba umri 27-35 ambaye
yuko serious na maisha,awe mrefu,sio mwembamba sana,sichagui dini wala
kabila,awe mwelewa,anaeshaurika,asivute sigara,pia awe tayari
kuniendeleza kielimu ili 2weze kusaidiana ktk maisha.
NB:Aliye serious tu ndo anitafute kwan nimechoka KUTENDWA NA
WABABAISHAJI WA MAPENZI,nahtaji mume.
Mawasiliano:0655054760 au 0752054760.

pls tuma na picha kabisa ikibidi na video clip biashara matangazo eti ilikurahisisha
Hapana mangi.
Huyo yupo kikazi zaidi ama nini? kaanika kabisa na namba zake za simu. Zimesajiliwa tayari?
Kuna mmoja aliwahi kutoa namba za simu hapa akaja kulalamikia usumbufu...nina wasi wasi na hili kutokea tena
haya wana JF Crispin, Fidel, na wengine haya sasa mshindwe nyinyi