Naona unajifarijiSasa sifa ya mwanamke si shimo?ulitaka ukute uwalaza alafu ungetombaje? Mnakwama wapi mabaharia au ndo vibar100???

sio kila shimo linafaa kwa matumiz mkuuVery true,.but a'mishyuu baby,.Long time no see baby
Haha eti real bahariaPole umekutana na real baharia
Chukulia ni tuition bidada
Pole sana wanaume ni vinyonga wanabadilika na wanapenda kujaribu , usiruhusu utumike na mtu ambaye hana commitment kwako
Hahaha mabaharia mpo kazini apo ni ƙutulia tuAtamjuaje ? Cha msingi amuombe mwenyezi maana mabaharia kila siku tuna update mbinu zetu
Si mnataka kujua tuko committed sahivi tunakuja nyumban kabsa mpaka kwenu kutoa kishika uchumba cha uongo
mbona havihusiani, Tamari alibakwa, huyu mleta mada walikubaliana
Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.
Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.
Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.
Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.
Naombeni ushauri nifanyeje
Mchagua jembe sio mkulima wewee ukiona mwanaume analialia shimo ujue sio mjuzi wa mambo...Naona unajifarijisio kila shimo linafaa kwa matumiz mkuu
Ila naomba nifute kauli hapo kwenye vibamia maana wapo ambao ni zaidi ya akina MKUYENGE kwa maujuziNaona unajifarijisio kila shimo linafaa kwa matumiz mkuu
Umeandika vya maana Sana asipoelewa hapa Basi tenaSimple alikuwa anakutamani kimapenzi...
We sio mbaya,we sio kwamba hujui mapenzi,we sio mchafu,We sio kwamba huna mvuto...
Mwanaume akikutamani kingono kakutamani kingono kubadilisha hiyo attitude Ni ngumu sana...
Usipoteze mda wako mama,move on hapo ndo ushagongwa hivo, kaa jipange kwa mahusiano mengine...
Hii game ni ngumu sana kuwa makini mtoto mzuri...
Maneno ya Mwisho makali usijitie kimbelembele kurudi kwake ata ku damage tu,mwishowe ujione kituko....
AmeeenHusijisikie vibaya dear wala husione una kasoro yoyote, Yeye ndio mwenye matatizo tena ana kasoro za kiakili. Wakaka wengi wanaona sifa kuwa na wanawake wengi kiasi kwamba ukifanyiwa hivyo unajihisi labda una upungufu kwenye mwili wako au pengine we sio mzuri na kujiona huna thamani tena. No your beautiful in your way na husiruhusu mtu akufanye ujihisi you lack something as a woman.
Yupo ambaye atakupenda na kukuthamini the way you are.
Jipende kwanza kwa sababu hakuna atakayekupenda kama wewe hujipendi.
Na punguza kuwa mrahisi kwa wanaume kwa sababu nahisi huyo mwanaume hata miezi miwili hamjafikisha na kakupiga kakuacha.
Jithamini, work hard na utampata anayekupenda.