katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Kweli wewe ni mtu ambaye dah unawapa watu matumaini .Mtoa Mada na wanawake wenzako mnaskia wanaume tunaitana mabaharia kiufupi nadhan hamuwajui mabaharia huyu sasa uliekutana nae ndo Baharia
Hakika ametuwakilisha vyema
Inawezekana uchi wako siyo mzuri, either unatoa harufu, au alikuta shimo ambalo halina ladha kabisa, kuna wanawake unaweza waona2kwa nje wazuri sana lakini wanaume wakionja tu hawarudi tena.Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.
Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.
Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.
Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.
Naombeni ushauri nifanyeje
Inatokana na mada husika kwenye bandiko na huo ndio uhalisiaHapana ila ninataka kusema kwamba wanaume muache unafiki wa kubashia maovu ya wanawake tu halafu ya kwenu mnayaacha
[emoji23][emoji23][emoji23] baharia kafanya yake! Sio kila siku nyie ndio mtupige dafrau tu!
Ongeza sauti na huku nyuma tuskie!Hizi ndiyo nyuzi mnazotaka kuziona baadhi ya wanaume wa JF, za wanaume kupiga na kusepa basi ndiyo mnafurahi wenyewe ila nyuzi za wanawake kutapeli nauli za wanaume hamtaki kuziona na zinawatoa mapovu.
Uhalisia upi?Inatokana na mada husika kwenye bandiko na huo ndio uhalisia
Marupurupu muhimu ili kupunguza hashiki za nyege. Ni kama vile mfanyakazi anayesubiri mshahara mwisho wa mwezi likitokea rupurupu hapa katikati analala nalo ili kupunguza stress za kifedha wakati akiendelea na kazi kwa ajili ya mshahara.
Ili iweje??weka japo kapicha basi
Anaoelezwa ni uhalisia uliopo, unaishi ni yeye ajitathimini ajue ukweli ni upi hata kama tatzo halipo kwakeUhalisia upi?
Halafu na nyie kweli mnakubali kupigwa na kuachwaa??Ndiyo, kwa mujibu wa wavulana lakini.
Anaoelezwa ni uhalisia uliopo, unaishi ni yeye ajitathimini ajue ukweli ni upi hata kama tatzo halipo kwake
Halafu na nyie kweli mnakubali kupigwa na kuachwaa??
Vizuri kama umeelewaSawa
Kama chini sio Mtela, Basi Kuna ka smell ka panya mfuMimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.
Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.
Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.
Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.
Naombeni ushauri nifanyeje
Ukome! Mimi mwenyewe nilishawahi kumpa dada mmoja penzi kisha akaniacha!Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.
Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.
Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.
Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.
Naombeni ushauri nifanyeje
Vizuri kama umeelewa