Amdalasini mix with asali

Amdalasini ukichanganya na asali inasaidia kuleta ashki?
Usitumie Abdalasini na asali Tumia dawa hii hapa. Dawa ya Kuamsha tamaa ya kiume na ya kike: Juisi ya Tangawizi nusu kijiko pamoja na yai nusu iliochemshwa na asali. Tumia kila siku kwa muda wa mwezi mmoja. Tumia kisha unipe feedback.Mkuu.@Shanice

kunywa mara 2 kwa siku kwa muda wa siku 7 halafu uje utuambie MziziMkavu unahitajika hapa
Nimesha mpa dawa anayoihitaji Blaki Womani
 
Mdalasini kwa English nini? Na akshi ndo kitu gani?
Mdalasini kwa kiingereza ni cinnamon


cinnamon.jpg


Na neno Ashki ni neno la kiarabu kwa kiswahili ni matamanio au kumtamani mtu kimapenzi akiwa ni mwanamke au mwanamme. Yaani dume kumtamani mwanamke au mwanamke kumtamani mwanamme ndio unapata neno hili (Ashki) aminiusiamini
 
Last edited by a moderator:
Nimejaribu mbona stimu hazijaongezeka?
Kuongeza stimu jaribu hii Dawa.
Dawa ya Kuamsha tamaa ya kiume na ya kike: Juisi ya Tangawizi nusu kijiko pamoja na yai nusu iliochemshwa na Asali. Tumia kila siku kwa muda wa mwezi mmoja. Tumia kisha unipe feedback. ....@Fidel80
 
Mdalasini kwa kiingereza ni cinnamon


cinnamon.jpg


Na neno Ashki ni neno la kiarabu kwa kiswahili ni matamanio au kumtamani mtu kimapenzi akiwa ni mwanamke au mwanamme. Yaani dume kumtamani mwanamke au mwanamke kumtamani mwanamme ndio unapata neno hili (Ashki) aminiusiamini

Nakushukuru sana.
 
Last edited by a moderator:
Chemasha nyanya chungu bila kuzimenya wala kutoa kikonyo, usitie chochote zaidi ya chumvi japo ni vizuri kutotumia chumvi. Kula Zenyewe mpaka ushibe na kunywa mchuzi wake.

Kumbuka zipo kungu na zisizochungu.

Alternatively: pata sea food coz zina high protein.

Hizo ndo viagra natural...

Enjoy!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom