Ambulance

Ambulance

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,976
Reaction score
13,435
ikiwapeleka wagonjwa hospitali.
ambulance%2Bkijijini%2Bpetu.jpg

Nalog off
 
ikiwapeleka wagonjwa hospitali.
ambulance%2Bkijijini%2Bpetu.jpg

Nalog off

Mkuu, Huyu alietengeneza hii nitampa (Div 1) kwa sababu ametatua matatizo yanayawakabili (innovative thinking).
1. This could also been used as a Mobile hospital (kama wakiwekeza kwenye vifaa vya matibabu huitaji speed kumuwahisha mgonjwa hospitalini)
2. Haitumii mafuta ya aina yoyote (Petrol, Diesel n.k)
3. Inapita maeneo ambayo gari inaweza kutoika.
4. Haiitaji Skiled driver
5. utengenezaji wake ni rahisi

Do I need to say more mkuu? Sio yule Mbulula alievunja makabati jikoni kwake na kujenga body ya gari eti unasema tumsupport Kha! Mke wake zalima ammtoe bandama! Lol
 
mkuu, huyu alietengeneza hii nitampa (div 1) kwa sababu ametatua matatizo yanayawakabili (innovative thinking).
1. This could also been used as a mobile hospital (kama wakiwekeza kwenye vifaa vya matibabu huitaji speed kumuwahisha mgonjwa hospitalini)
2. Haitumii mafuta ya aina yoyote (petrol, diesel n.k)
3. Inapita maeneo ambayo gari inaweza kutoika.
4. Haiitaji skiled driver
5. Utengenezaji wake ni rahisi

do i need to say more mkuu? Sio yule mbulula alievunja makabati jikoni kwake na kujenga body ya gari eti unasema tumsupport kha! Mke wake zalima ammtoe bandama! Lol

umamalizaaaa........
 
Mkuu, Huyu alietengeneza hii nitampa (Div 1) kwa sababu ametatua matatizo yanayawakabili (innovative thinking).
1. This could also been used as a Mobile hospital (kama wakiwekeza kwenye vifaa vya matibabu huitaji speed kumuwahisha mgonjwa hospitalini)
2. Haitumii mafuta ya aina yoyote (Petrol, Diesel n.k)
3. Inapita maeneo ambayo gari inaweza kutoika.
4. Haiitaji Skiled driver
5. utengenezaji wake ni rahisi

Do I need to say more mkuu? Sio yule Mbulula alievunja makabati jikoni kwake na kujenga body ya gari eti unasema tumsupport Kha! Mke wake zalima ammtoe bandama! Lol
ni kweli mkuu hii imekaa vizuri yule jamaa wa mbao kafeli hakuna kumchangia wala nini labda akajiulize tena kwa mara ya pili na aje na kitu kipya.
Nalog off
 
Back
Top Bottom