Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
- Thread starter
- #21
wanawasa taa ya chemli mkuu.aisee!!!!
Sasa hii usiku inatumikaje??
Nalog off
wanawasa taa ya chemli mkuu.aisee!!!!
Sasa hii usiku inatumikaje??
hahahaha watu wanaopakiwa humu huwa wanarudi majumbani mwao na afya tele.Maana yake ni kwamba ukiingizwa kwa hiyo ambulance inabidi uwe umeaga na kuacha wosia kabisa. tehe..
ikiwapeleka wagonjwa hospitali.
![]()
Nalog off
ahahahah sio Somalia mkuu hayo ni maeneo ya Mvumero.wapi uko? Somalia nini?