Ambulance ya Godbless Lema yawasili

Ambulance ya Godbless Lema yawasili

...

...safiiiii MAKAMANDA !!!

attachment.php

Hii hiace model ya 1994 ikikaa sana ni miaka miwili tu carburetor engine zinakula mafuta balaa.. kweli watanzania bado watoto wadogo akilia anapewa pipi ananyamaza.
 
Kuna angalizo au tuseme maangalizo matatu. Why now why Lema? Mbowe naye alicheleweshwa hivo hivo lakini baadaye TRA wakasema Mhe Mbowe alikataa ambulance kuandikwa jina la Halmashauri alitaka iandikwe jina lake. Hii consignee ni nani? Tatu, hizi ambulance niagahali sana kwa mtu mmoja aisye mfanyabiashara wala millionaire kama kina Mzee Ndesamburo. Lema kazipata wapi hizi hela, zimepita TRA, au mnamsingizia tu? Mwisho, CHADEMA ina msimamo wa kutochangia maendeleo ya serkal, hiyo ni kazi ya serkali. Kulikoni hapa, Mhe Tundu Lissu katengua msimamo wa Chama? William Marconi.
da we jamaa bana,unauliza lema katoa wapi pesa kwani unajua biashara zake zote?ok. tufanye kaiba ili anunulie watu wake ambulence hapo vp.
 
Zile Ambulance alizopiga picha Uingereza huku kazishika pamoja na Chopa zipo wapi zile.

Nakala; MUSSA ALLAN.
 
Last edited by a moderator:
hako si katoyota hiace jamani ?

Bora Toyota hiace kuliko vile vibajaji vya maccm.Miaka 50 ya Uhuru maccm yameshindwa kuleta bora Lema kaleta ndani ya miaka 5 pamoja na kumuhunia na kumsimamisha ubunge
 
Hahaaaa inaingia 2015

Na yeye kaingia mwaka gani??

Amkeni watz...
 
Hi hiace ya kijapan kuna zile mbili za ulaya alizopewa na watanzania wanaoishi UK alipeleka wapi? Lakin zinaonekana hapo Arusha.

Kaombe na we we! maccm yalishindwa kwa miaka 50 Lema kaweza ndani ya miaka 5
 
Hiyo nyingine kwa mahesabu ya haraka muda aliotangaza kuja na uhalisia wa hii iliokuja basi

Hiyo nyingine itatoka 2020aug
 
Kaombe na we we! maccm yalishindwa kwa miaka 50 Lema kaweza ndani ya miaka 5
Jibu swali za uk ziko wapi??wakati zinaonekana arusha...unaambiw ukweli..jibu
 
Hiyo hiace old model hata mimi siwezi kutumia they're very cheap cif $1500.
Rich kwa mapopompo wa chama kule arusha hii n.mpya..awajui ziko show rum bei rahisi tu zakumwaga


Mjombawangu kanunua.moja siku akichelewa kazini.wanampeleka na.ambbul..
 
No wonder anadai watu wa Arusha wamemfanya awe mbunge maskini and he can not wait to get his hands on kiinua mgongo cha million 230 .
 
Kumbe kulalamika kooote kule , ohhh mimi ni ATM inayotembea , oh kiinua ntachukua nkipewa , ohh nmekuwa maskini, kumbe ni kinyongo cha hii ambulance ,

Mh lema ukitoa toa kwa moyo wote si waangalia nyuma na kulalamika hasara uliyoingia ,
 
Profesa. . . .Lugha ya "kujitahidi" imetosha kwa kweli. . . Nadhani tunahitaji viongozi "wanaoweza" ili kuanza safari ya kuyafuata maendeleo ya kweli. . .

Unajua tatizo Siasa za Tanzania ni za Msimu na watu wanawekeza pale penye kura au kula! Chochote kinaweza kusemwa au kutendwa na Mwanasiasa na kikahalalishwa hata kiwe haramu vipi. Mfano ununuzi wa Ambulance si kazi ya Mbunge, ni Halmashauri au Serikali kuu ndio inapaswa kufanya. Mafanikio yake tunayapima kwa uwezo wake wa kushaiwshi uwepo wa Ambulamnce zinazokidhi mahitaji.
 
Back
Top Bottom