Ambulance ya Godbless Lema yawasili

Ambulance ya Godbless Lema yawasili

Hatimaye Ambulance moja kati ya mbili za Mbunge wa Arusha Mjini kwa watu wake kama alivyowahi kuahidi imewasili Jijini Arusha baada ya kukwama bandarini kwa muda mrefu kwa masuala ya ushuru.

Ni rahisi kwa Serikali yetu kuexempt ushuru wa maV8 ya anasa za viongozi lakini watakomalia Ambulance kama hii... Labda kwa vile wahusika ni Team UKAWA.. Sijui?

Alikuwa wapi siku zote.
 
Kuna angalizo au tuseme maangalizo matatu. Why now why Lema? Mbowe naye alicheleweshwa hivo hivo lakini baadaye TRA wakasema Mhe Mbowe alikataa ambulance kuandikwa jina la Halmashauri alitaka iandikwe jina lake. Hii consignee ni nani? Tatu, hizi ambulance niagahali sana kwa mtu mmoja aisye mfanyabiashara wala millionaire kama kina Mzee Ndesamburo. Lema kazipata wapi hizi hela, zimepita TRA, au mnamsingizia tu? Mwisho, CHADEMA ina msimamo wa kutochangia maendeleo ya serkal, hiyo ni kazi ya serkali. Kulikoni hapa, Mhe Tundu Lissu katengua msimamo wa Chama? William Marconi.

William, umefanya research? Hii Ambulance imesajiliwa kwa jina gani? Kwa taarifa Lissu hajasema CDM isichangie maendeleo, alichosema Lissu ni serikali kutochangisha wananchi,Lema hajachangihswa bali kajitolea mwenyewe kwa ajili ya wananchi wake.
Tukijadiri mada kwa kuelewa itakuwa bora kuli kuja na ushabiki wa vyama.

Nawasilisha.
 
safi sana,ccm wabaguzi hasa eneo likiwa ukawa basi mjue mmtengwa but heri tutegwe.........
 
Hiyo siyo ambulance. Hiyo ni written off over aged Toyota Hiace iliyoandikwa Ambulance ubavuni. Sasa nyie chochote kikiandikwa ambulance kinakuwa ambulance? Watu wa Arusha mnauza jimbo kwa ajili hicho chuma chakavu?
 
Kuna angalizo au tuseme maangalizo matatu. Why now why Lema? Mbowe naye alicheleweshwa hivo hivo lakini baadaye TRA wakasema Mhe Mbowe alikataa ambulance kuandikwa jina la Halmashauri alitaka iandikwe jina lake. Hii consignee ni nani? Tatu, hizi ambulance niagahali sana kwa mtu mmoja aisye mfanyabiashara wala millionaire kama kina Mzee Ndesamburo. Lema kazipata wapi hizi hela, zimepita TRA, au mnamsingizia tu? Mwisho, CHADEMA ina msimamo wa kutochangia maendeleo ya serkal, hiyo ni kazi ya serkali. Kulikoni hapa, Mhe Tundu Lissu katengua msimamo wa Chama? William Marconi.

[h=3]Guillermo Marconi unatetea ugamba fikra yako haiendani na jina lako[/h]
 
Unajua tatizo Siasa za Tanzania ni za Msimu na watu wanawekeza pale penye kura au kula! Chochote kinaweza kusemwa au kutendwa na Mwanasiasa na kikahalalishwa hata kiwe haramu vipi. Mfano ununuzi wa Ambulance si kazi ya Mbunge, ni Halmashauri au Serikali kuu ndio inapaswa kufanya. Mafanikio yake tunayapima kwa uwezo wake wa kushaiwshi uwepo wa Ambulamnce zinazokidhi mahitaji.

Na yeye akiwa diwani humo humo. . . .kwa sasa tatizo ni Watanzania wenyewe kuliko siasa kama siasa, huu uzi unaonesha aina ya wafuasi wa vyama vya siasa katika nchi husika. . . . .
 
Rich kwa mapopompo wa chama kule arusha hii n.mpya..awajui ziko show rum bei rahisi tu zakumwaga

Mjombawangu kanunua.moja siku akichelewa kazini.wanampeleka na.ambbul..
Pdidy , ha ha ha ma pro Lema huwa wanakwenda kama ling'ombe! Huwa hawatafakari .
 
Last edited by a moderator:
Kaombe na we we! maccm yalishindwa kwa miaka 50 Lema kaweza ndani ya miaka 5

Kupenda kubaya! Hivi unajua hicho ki old model hiece ni sh ngapi? Unamsifia Lema wakati chadema walisema hawtachangia maendeleo kwani serikali ipo! Leo uchaguzi umewadia mnadangan ywa na hicho ki old model! How pathetic!
 
Zile Ambulance alizopiga picha Uingereza huku kazishika pamoja na Chopa zipo wapi zile.

Nakala; MUSSA ALLAN.
Mkuu zile zilishauzwa kwa Bw.Aatish, Huyu ni mmiliki wa kampuni ya ARUSHA ART LTD. Jamaa huwa anazikodisha kwa watu mbali mbali.

Kipindi kile LEMA aliposimamishwa Ubunge hakujua kuwa angeweza kurudi tena, wakati huo Ambulance zilikuwa njiani kuja bongo, sasa zilipofika zikamkuta LEMA tayari sio Mbunge(Kwa amri ya mahakama), Alichokifanya ni kuzitafutia mteja chap chap. Pia kulikuwa na Trekta, nalo lilishauzwa.!
 
Daah!! Nakumbuka zilikuwa mbili nyeupe pembeni zina mistari ya blue.

Mkuu na trekta alimuuizia nani?
 
Kuna angalizo au tuseme maangalizo matatu. Why now why Lema? Mbowe naye alicheleweshwa hivo hivo lakini baadaye TRA wakasema Mhe Mbowe alikataa ambulance kuandikwa jina la Halmashauri alitaka iandikwe jina lake. Hii consignee ni nani? Tatu, hizi ambulance niagahali sana kwa mtu mmoja aisye mfanyabiashara wala millionaire kama kina Mzee Ndesamburo. Lema kazipata wapi hizi hela, zimepita TRA, au mnamsingizia tu? Mwisho, CHADEMA ina msimamo wa kutochangia maendeleo ya serkal, hiyo ni kazi ya serkali. Kulikoni hapa, Mhe Tundu Lissu katengua msimamo wa Chama? William Marconi.

Nyongeza

Mbona hz ambulance zinakuja kipindi kilekile cha ccm tutuletea vumbi mtaani...kupitisha grader la almashauri kufukia mashimo yaliyodumu kwa miaka zaidi ya mitatu huku wananchi wakipiga kelele bila mafanikio....kwa nn sasa na sio wakati mwingine..au watasema walikuwa wanajikusanyakusanya....upinzani ni ccm iliyovaa ngozi ya kondoo...wakichukua dola wataivua na kutuonyesha uccm wao..
 
Kwanini misaada inakuja kipindi hiki?lazima tujiulize lakin lema anajua kabisa alitoa ahadi kibao ambazo ameshindwa kuzitimiza,sisi tuliopo arusha tunaujua ukweli,na ukweli huo utakwenda kudhihirika oktoba 25 mwaka huu,tunayataka mabadiliko sana lkn sio kama haya ya lema,tulikupa muda utututumikie tukakesha usiku na mchana kulinda kura nasikitika kusema umetuangusha sana,tutakipa ushindi tena chadema lakini sio lema,pole kwa hili.asanteni
 
kwa lema ni hongera angetoa chenge jimboni kwake ingekuwa nongwa
 
HIZI NDIO AMBULANCE BWANA SI HIZO HIACE
images
 
Back
Top Bottom