Ambulance ya Godbless Lema yawasili

Ambulance ya Godbless Lema yawasili

mbona imefafana na zile mbovu za nasary.


mbowe ambulance, Nasary ambulance na Lema naye ambulance nadhani Tanzania ni jalala la wazungu.
 
Waungwana husifia matendo mazuri na hukosoa matendo maovu, sikutegema huo ushuzi wa baadhi ya wachangiaji!
 
Napata raha kusikia mambo mazuri tika Kwa makamanda wangu naamini sijawahi kupoteza kura yangu
 
Maskini wananchi, tunafanywa wajinga kweli. Nawaza tu, hivi tangu tulipoahidiwa hizi ambulance na kuambiwa kuwa serikali imezuia kwa sababu ya ushuru mbona ni muda mrefu sana? Ushuru wa TRA ukajumlisha storage charges za bandarini kwa miaka yote hiyo, je gharama yake si zaidi ya bei ya ambulance mbili?
 
Iy ni hiace imewekewa vijitaa ili ifanane na ambulance... Mbaaav wahuni nyie
 
Akili za Bavicha. Ki hiace, hakina hata kitanda... Eti ambulance. Mibaba mizima bila aibu inashupalia.
Huyo mjinga kasubiri hadi mwaka wa uchaguzi ndio analeta huo mkangafu. Hiace model ya 1997.Hakika Arusha tuna wajinga
 
Kuna angalizo au tuseme maangalizo matatu. Why now why Lema? Mbowe naye alicheleweshwa hivo hivo lakini baadaye TRA wakasema Mhe Mbowe alikataa ambulance kuandikwa jina la Halmashauri alitaka iandikwe jina lake. Hii consignee ni nani? Tatu, hizi ambulance niagahali sana kwa mtu mmoja aisye mfanyabiashara wala millionaire kama kina Mzee Ndesamburo. Lema kazipata wapi hizi hela, zimepita TRA, au mnamsingizia tu? Mwisho, CHADEMA ina msimamo wa kutochangia maendeleo ya serkal, hiyo ni kazi ya serkali. Kulikoni hapa, Mhe Tundu Lissu katengua msimamo wa Chama? William Marconi.

Lumumba team naona mapovu kibao kama mmekula uyoga wenye sumu
 
Freeman Nkurunzinza alitoa ambulance jimboni kwake Hai halafu akabaki na kadi ya ambulance....bila shakama Lema hajafanya upimbi huo
 
Back
Top Bottom