Ambulance ya Godbless Lema yawasili

Ambulance ya Godbless Lema yawasili

Lema wewe bado ni mbunge wetu tu!
Ccm hamishieni majeshi kwingine! Mwigulu anakufahamu!
 
Hiyo used hiace ndio ambulance?


Mr. Mbona twakujua kuwa hata weye ni used kabisaaa lakini bado unajishaua humu jf?? Just shut ya mouth pls. Kama serekali yako ingeleta hata used 2 ka hizi, Arusha mambo yangelikuwa safi kabisa. Unavyoonesha hata neno Aksante ni msamiati mpya sana kwako
 
Hongera sana mbunge wetu God Bless Lema kwa kutimiza ahadi yako bado tuna imani kubwa na wewe jimbo la Arusha ccm walisahau kabisa sasa wamebaki wapinzani mwaka huu tutawadelete wote
 
Lema anajua hasa kuzichanga karata zake, dice,,dice,,dice.
 
Hiyo used hiace ndio ambulance?

Tuleteebya kwako hata mbovu tu,tutaipokea.Vinginenhuna hakinya kudhihKi cha mwenzako alichotuletea.Hongera sana mbunge wetu.Mungu akuongezee pale ulipotoa.
 
...

...safiiiii MAKAMANDA !!!

attachment.php
 
magari ya washa washa!! magari ya pili pili ili kuwazima midomo wasakatonge na walamba nyayo.
 
Back
Top Bottom