Haiwezekani Ritz hujaona hii thread, toa neno basi
hizi hiace jaman hata mimi mwenyewe naweza kununua, just 18m, yeye kala ngapi?? Acheni kutudunganya namna hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, yaan unakula 5 years at last unatuletea hiace, ee jamani, mshahara wa mbunge 9,000,000 bila marupurupu (9,000,000*12month)*5yrs. .................. Malizia alafu linganisha na hiace
Lema,lema..arusha yakupenda sana.
Hi hiace ya kijapan kuna zile mbili za ulaya alizopewa na watanzania wanaoishi UK alipeleka wapi? Lakin zinaonekana hapo Arusha.
Hiyo used hiace ndio ambulance?
Watanzania bwana!! Sasa ambulance mbili kwa miaka 5 unashangilia na kumwabudu mtu!!! Tena zimeletwa miezi 3 kabla ya uchaguzi!!! Think big
Linapokuja suala la maendeleo endelevu kweli unaweza mwambia mtu aende majimboni kama sehemu ya kujifunzia??!!!!Kichwa ka ndorobo
Nitajie mbunge mmoja wa ccm aliyewahi kununua ambulance hata mbovu haitembei
Acha kutumia masaburi kufikiri
Wandugu, Amejitahidi, ingawa kiukweli hiyo gari ni ya zamani sana na itasababisha gharama za matunzo kuwa juu kutokana na matengenezo ya mara kwa mara.
Hiyo used hiace ndio ambulance?