Ambrose Dunga: Producer aliyezivunja vunja Bongo Records, MJ Records kwa ma-beat makali yenye 'back vocals'

Mama Debora

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
1,079
2,000
Huyu jamaa ilikuwa hatari nyingine japo ujuzi wake ulikuwa haulandani na muonekano wake! 😂😂😂

Alisababisha ugomvi wa Q Chilla na Jafarai enzi hizo! Chilla aliurudia wimbo (remix) wa My Boo (kama sijakosea jina) ambao original yake ilikuwa ya Jafarai akimshirikisha Chilla...
Unaikumbuka ngoma ya Hot Pot Family inaitwa Bonge la Toto chorus ameimba Q Chilla?
 

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
5,993
2,000
Duh basi fresh kunradhi kwa hilo...itakuwa nimepitiwa na Mandela effects maana nakumbuka kabisa nilisikia tàarifa ya kifo ya Dunga
TADPOLE unazingua mdau,wewe ulisikia kifo cha Dunga wa mtaani kwenu aliyekuwa anawadunga wanawake kwenye daladala ukakimbilia kujua ni Dunga producer.

Umetuangusha.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Top Bottom