Ambrose Dunga: Producer aliyezivunja vunja Bongo Records, MJ Records kwa ma-beat makali yenye 'back vocals'

Chief Mtangi

Member
May 11, 2020
74
125
Dunga yupo ila sidhani kama anafanya tena production katika ile intensity, mara ya mwisho kumsikia ni kwenye nyimbo ya Galatone "Samaki" nahisi pia alihusika 100% kutengeneza pia back vocals zake zinasikika, lakini pia nimemuona kwenye videos kadhaa za wanamuziki underground wa Tanga (even Galatone anatokea huko) lakini nadhani now ameweka makazi Tanga.
 
Mama Debora

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
1,079
2,000

Nimecheki hiyo video ya Galatone nimemuona Dunga ni yeye aisee...
Na back vocals zake kama kawaida :D:D:D
 
Roger Sterling

JF-Expert Member
May 10, 2015
12,215
2,000
Dunga wabongo walimfanyia 'uchawi' akashindwa ku-renew Kibali cha kufanya kazi TZ. Mandugu Digital kama jina linavyojieleza, ilitakiwa kuwa na zaidi ya Dunga, ila ndugu yake (Shakii nadhani) alikuwa kila akitua Bongo anakuwa kichaa(niliisikia tu back in the day). Makala nzuri, na Dunga kweli aliwakimbiza sana kipindi chake.
 
Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
8,116
2,000
Timberland mtu mbaya sana kwenye beat na back ground vocal.
Kwenye beat yeye na Dr. Dre wana kitu flani cha kipekee, ile ukisikia tu unajua huyu flani.

BTW, umechambua vizuri sana.
Unaijua game ya muziki kama wadada flani amazing, Salama Jabir na Dj Fetty.
Nahisi wewe ni mmoja wa hao wadada, hiyo rangi yako kwenye pic uliyo tuma, white flani kama ya Dubai na uelewa wako wa game ya music ndiyo vimenishawishi kukufaninisha na hao watu.
 
Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,012
2,000
Unaikumbuka ngoma ya Hot Pot Family inaitwa Bonge la Toto chorus ameimba Q Chilla?
'Bonge la Toto, mwacheni aringeee!' nalipata vizuri saana! Nilikuwa kwenye peak ya ujana enzi hizo so nyimbo 99% zilizotoka mwaka kuanzia 1999 mpaka lately 2010 nazijua!

Baada ya hapo uzee tena nipo kwenye country music na zilipendwa na vile nyimbo za siku hizi matusi nje nje ndiyo kabisaa!
 
Mama Debora

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
1,079
2,000
'Bonge la Toto, mwacheni aringeee!' nalipata vizuri saana! Nilikuwa kwenye peak ya ujana enzi hizo so nyimbo 99% zilizotoka mwaka kuanzia 1999 mpaka lately 2010 nazijua!

Baada ya hapo uzee tena nipo kwenye country music na zilipendwa na vile nyimbo za siku hizi matusi nje nje ndiyo kabisaa!
:D :D :D :D :D :D :D :D
 
Top Bottom