Amber Rose New Hair Style

Amber Rose New Hair Style

Team nanihiii utawajua tu

Umeowaona ee, mi nilikuwa nasema huyu mtoto katoka super na nywele zake za rangi rangi, wamekuja wakina utafiti, kabanga na Mr Rocky wameanza kuijadili picha sivyo ndivyo. Mbona hawaongei kuhusu yule Miss Tanzania wao, na yeye si ana picha kama hii.
 
Umeowaona ee, mi nilikuwa nasema huyu mtoto katoka super na nywele zake za rangi rangi, wamekuja wakina utafiti na Mr Rocky wameanza kuijadili picha sivyo ndivyo. Mbona hawaongei kuhusu yule Miss Tanzania wao, na yeye si ana picha kama hii.

Hivi hao wako kwenye team gani vileeee????
 
Umeowaona ee, mi nilikuwa nasema huyu mtoto katoka super na nywele zake za rangi rangi, wamekuja wakina utafiti, kabanga na Mr Rocky wameanza kuijadili picha sivyo ndivyo. Mbona hawaongei kuhusu yule Miss Tanzania wao, na yeye si ana picha kama hii.
Salamander picha ya miss wa kuchonga ile haina mvuto imezeeka na inatudanganya hapa eti ina miaka 18 wakati ashakuwa bibi aise wala haivutii muulize hata kabanga au utafiti
 
Last edited by a moderator:

Sehemu kubwa ya picha haioneshi nywele, nywele zipo kidooogo juu, iliyobaki ni (kwenye mabano)
 
Salamander picha ya miss wa kuchonga ile haina mvuto imezeeka na inatudanganya hapa eti ina miaka 18 wakati ashakuwa bibi aise wala haivutii muulize hata kabanga au utafiti

Mwacheni Miss Tanzania wetu, ndio kwanza kavunja ungo mwaka huu, kimwali mwali cha TMK kile, lazima akachukue Miss World yule, huwezi kumfananisha na huyo Amber Rose demu wa wavuta bangi kina Wiz Khalifa.
 
Aiseee,wanaume wote wangekua na msimamo kama wako.... dunia ingekua sehemu salama ya kuishi

Michepuko Sio dili siku hizi magonjwa kibao,nyama ni nyama tu hata ukibadili bucha cha msingi ni kuongeza spices(manjonjo) unakaangia na tangawizi,vitunguu swaumu,unaweka ndimu pembeni na kachumbali inakua safi.
 
Mwacheni Miss Tanzania wetu, ndio kwanza kavunja ungo mwaka huu, kimwali mwali cha TMK kile, lazima akachukue Miss World yule, huwezi kumfananisha na huyo Amber Rose demu wa wavuta bangi kina Wiz Khalifa.

Mkuu Salamander ni kweli aise ndo kamaliza form six yule anasubiri kwenda chuo si unaona alivyo mdogo
Hawezi fanana na akina Amber hawa ila unamuonaje pamoja na kuvutishwa ile makitu si unamuona ni bomba kuliko hata miss wetu wa miaka 18
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky nataka nimtengeneze cute b hiyo style ya nywele mpaka body zima awe kama amber!

Nipe maoni..

Cc Honey Faith kwa ajili ya kuona wivu! Lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom