kabanga huyu Salamander naona anatuchezea akili sio hair style bana alitaka tuone alitaka tukodolee macho zaidiYaani Mr Rocky huyu Salamander labda ameona sijui nini....!
Mr Rocky niliangalia tu style ya nywele nikatoka, kumbe picha inaendelea???
Mkuu utafiti picha linaendelea hebu ikize kidogo halafu uje na utafiti wako hapa
Last edited by a moderator: