Kaka me najiona bado mbona? Huyu alieleta hii picha hapa sijui katumwa??
Hebu mkuu utafiti muulize Salamander alikuwa na lengo gani kutuonyesha nywele tuu au mambo ya lens mbinuko
Hapo sasa, Salamander nijibu swali moja tu, simu yako haina 'crop image' ??
Mkuu kila siku kula makande nayo inachosha, sometimes inabidi kubadilisha menu kidogo, ndio hapo utata unapoanzia.
Sasa utabadili wangapi? Utamu wa Pipi ni mate yako mwenyewe! Sumu ya Mapenzi ni mauzi tu.
Usiiondoe bhana! Wacha nimalizie kwanza.
Lengo ilikuwa kuonyesha nywele mkuu, hayo mambo mengine nenda kwenye jukwaa la wakubwa .
basi ulikua uweke kichwa tu
Hapo sasa, Salamander nijibu swali moja tu, simu yako haina 'crop image' ??
Hahahaha hapo Salamander hatakuw ana jibu aise sana sana atakuambia mimi nilikuwa naonyesha nywele tuu
Hayo ndo mambo ya kutiana majaribuni hayo! Au nimeelewa vibaya?
kabanga huyu Salamander naona anatuchezea akili sio hair style bana alitaka tuone alitaka tukodolee macho zaidi
Mkuu utafiti picha linaendelea hebu ikize kidogo halafu uje na utafiti wako hapa
Lengo langu lilikuwa ndio hilo mkuu, kuonyesha nywele tu.
Mkuu Salamander nina wasi wasi na nia yako hiyo aise lengo lilikuwa sio nywele tuu
kabanga huyu mktoto utafiti inabidi umuangalie sana anakua kwa kasi kubwa sana
Mkuu kama ni nywele tu asingeweka picha inaonyesha hadi uani
Mkuu utafiti huyu Salamander anataka tupofuke macho aise sio sawa kabisa
cc Excel sijakuona huku aise