Amber Lulu, young D, Kwa picha hizi mtaenda kujibu nini kwa Mungu wenu muumba?

Jan 29, 2017
61
66
Habari wanaJF, Ama kweli pesa haramu....pesa inaweza kukufanya ukaonyeshe hata sehemu zako za siri nje nje..... Oneni dada zetu wanavyotafuta pesa kwa nguvu sijui ni dhiki au tamaa
mi sijui.
Screenshot from 2017-08-29 15-07-06.png




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hizo picha zinaonyesha wote wawili hapo wanafanya biashara ya kupigwa miti.
Mmoja ni malaya wa kike, mwingine ni shoga.
Wote wamepakwa mafuta, mwanamke yuko uchi na mwanaume kavaa sketi ya kike.
Kweli biashara ni matangazo.

Wamelaaniwa kabisa hao.
 
hivi TCRA wako wapi siku hizi huyu binti anatafuta umaarufu kwa nguvu amesahau kama kuvua nguo hakukuongezei umaarufu utaishia kuchezewa na vibenbten
 
Wamechagua kutoa ujumbe huo.......ME mwenye uangalau angeshitushwa na front page.

Kwa maendeleo hayo......bora kuwa mhenga tu!
 
Wazazi wana shida sana
Wangekuwa wanaoneshwa maisha ya mbele ya mtoto hakika wengi wangekua hawazaliwi
 
Habari wanaJF,AMA kweli pesa haramu....pesa inaweza kukufanya ukaonye hta papuchii nje nje.....Oneni dada zetu wanavyotafuta pesa kwa nguvu sijui ni dhiki au tamaa mmi sijui.
View attachment 577327


Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wamefanya maamuzi magumu sana,baada ya kugundua uwezo wa kutafuta hela kwa kutumia vichwa(Akili) hawana wameamua kutumia mwili wote(hasa sehemu za siri) kutafutia hela!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom