Ambayo hatutangalia mechi za champions league za Simba na yanga Tukutane hapa

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
1,000
1,988
Mimi nitakuwa busy na kazi kwa siku zote mbili. So sitaweza Hata kufatilia.

Na shauri : Wazee wa pressure hizi match wasiangalie. Kama una mzee shabiki wa hizi team akae mbali na TV Unaweza Mpoteza.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Goli ni nyingi sana . Vijana wa kariakoo wamelamba joker ๐Ÿƒ.

Wamepotea njia, wameibukia Jeshini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mwendo wa doso tu .

kazi wanayo . Weekend hii
 
Kitu kimesimama' 5G kwa Nkapa Mamelodi hatoki Ntu huyo wa Al Ahly kitakachomkuta Mimi msinihusishe kabisa
 
mnaishi kwa historia na kujipa pressure bure

mi mwananchi na mechi naangalia maana mamelod ni kipimo sahihi

nyau nae anayo nafasi kama ataacha ujinga wa nzi
 
mnaishi kwa historia na kujipa pressure bure

mi mwananchi na mechi naangalia maana mamelod ni kipimo sahihi

nyau nae anayo nafasi kama ataacha ujinga wa nzi
Sure . Ni match Ambazo team lovers canโ€™t watch .
 
Wakishafungwa wacheze na kuimba hivi hivi wasibadirishe steps na wacheke hivyo hivyo km wanavyocheka kwenye clip hii, maana kitakachowakuta Mimi simo
1646402002283_1644915357791_1622054602209_Niang-1.jpg
 
kensho nipo busy sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. kuna mechi bila kuwaka uwezi angalia
 
Ya makolo nitakua safarini. Ikinikuta kwenye mji nitasimama niicheki. Ikinikuta porini itakua pole kwangu.
 
Mimi nitakuwa busy na kazi kwa siku zote mbili. So sitaweza Hata kufatilia.

Na shauri : Wazee wa pressure hizi match wasiangalie. Kama una mzee shabiki wa hizi team akae mbali na TV Unaweza Mpoteza.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Goli ni nyingi sana . Vijana wa kariakoo wamelamba joker ๐Ÿƒ.

Wamepotea njia, wameibukia Jeshini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mwendo wa doso tu .

kazi wanayo . Weekend hii
Nitapata matokeo asubuhi
 
hizi mechi nuksi tu. yanga 5 players amna. what's the point of watching that game
 
Hizi mechi ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ. Nimekosa zote
Wewe mbona unakuwa lodi lofa kiasi hiko? Kuna mtu amekulazimisha uwe unaangalia mechi za Simba ama Yanga? Si ukafanye unachojisikia kufanya. Unajiona mtu gani special kiasi cha kushindwa kuangalia mechi kwako iwe big deals kwetu. Acha undezi
 
Back
Top Bottom