Ambaye ana uzoefu na biashara za Dar-Zanzibar

kuna msimu wa machungwa, mihogo na hata mayai sema wapemba wajanja wakiona kuna fursa hawakawii kuja bara na kuikamatia hiyo fursa.
Ila kuna wazanzibar wananunua vitu bara wanaenda kuuza Comoro hivyo vyote vinahitajika.
 
Mchele wa bara unaliwa sana huku kuliko mnavodhani, na hiyo mbeya supa haijawahi kufikia huko, supper kabisa ni 2400
 
Dah, we jamaa nimuongo mno, cjui inakusaidia kusema uongo kiasi hicho, mchana zaid ya asilimia 90 nyumba zote utakazopita ni wali, nyamaza wazanzibar wenywe tumo humu
 
Mchele wa bara unaliwa sana huku kuliko mnavodhani, na hiyo mbeya supa haijawahi kufikia huko, supper kabisa ni 2400
Huo mchele super kyela kwa dar tu, huwa unafika 3000!!kuna super na suoer kyela!!sembuse zanzibar?au unaongelea kipindi hiki ambapo mchele ni bei ndogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…