Ambaye ana uzoefu na biashara za Dar-Zanzibar

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,501
2,000
kuna msimu wa machungwa, mihogo na hata mayai sema wapemba wajanja wakiona kuna fursa hawakawii kuja bara na kuikamatia hiyo fursa.
Ila kuna wazanzibar wananunua vitu bara wanaenda kuuza Comoro hivyo vyote vinahitajika.
 

Abdulwahid

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
2,576
2,000
Sawa wanakwenda lakini, mchele wa bara kwa zanzibar, mzunguko wake ni mdogo sana kutokana na bei yake kuwa juu, kulinganisha na hayo ma michele ya pakistani/brazili, ambayo wapemba wengi ndio wanatumia , ile super ya mbeya ikifika zanzibar si itakuwa zaidi ya 3000/- ni wangapi wenye uwezo huo??kuna kipindi nilikuja znb, nikashindwa kabisa kula wali, kila sehemu ni ule nadhani walikuwa wanauita pembe kutoka brazil!!
Mchele wa bara unaliwa sana huku kuliko mnavodhani, na hiyo mbeya supa haijawahi kufikia huko, supper kabisa ni 2400
 

Abdulwahid

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
2,576
2,000
Mkuu siongei kwa kusoma maandishi.

Nimeishi Zanzibar (Unguja). Unguja usiku watu wakula Kachori, sambusa, maandazi, n.k hayo mawali wanakula watu wa bara.


Ukienda maeneo ya Bububu watu mchana wanakula urojo. Unaweza kutembea umbali wa kilomita hata 4 hujaona sehemu wanapika wali.

Sasa Kama huamini peleka huo mchele wako utuletee mrejesho.


Zanzibar usirogwe ukapeleka biashara yoyote ambayo wao wanaingiza kutokea Bara Asia.
Dah, we jamaa nimuongo mno, cjui inakusaidia kusema uongo kiasi hicho, mchana zaid ya asilimia 90 nyumba zote utakazopita ni wali, nyamaza wazanzibar wenywe tumo humu
 

Abdulwahid

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
2,576
2,000
Mkuu biashara huku unayoweza kuileta ikakutoa, ni nafaka, kama mchele, maharage, sembe na vingn, pia viazi mbatata vinaliwa mno, vitunguu na mboga mboga nyngne
 

Kiby79

Member
Feb 1, 2021
60
125
Mchele wa bara unaliwa sana huku kuliko mnavodhani, na hiyo mbeya supa haijawahi kufikia huko, supper kabisa ni 2400
Huo mchele super kyela kwa dar tu, huwa unafika 3000!!kuna super na suoer kyela!!sembuse zanzibar?au unaongelea kipindi hiki ambapo mchele ni bei ndogo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom