Mwenye uzoefu na Biashara ya Stationary (jumla na rejareja)

satong

JF-Expert Member
Sep 18, 2016
260
311
Habari za leo wanajamvi,

Naomba ushauri kwa wazoefu na biashara ya stationary( jumla na rejareja).Mambo muhimu ya kuzingatia pia kuhusu location nzuri hususani kwa Dar au Mwanza

Karibu na ahsanteni
 
Habari za leo wanajamvi,

Naomba ushauri kwa wazoefu na biashara ya stationary( jumla na rejareja).Mambo muhimu ya kuzingatia pia kuhusu location nzuri hususani kwa Dar au Mwanza

Karibu na ahsanteni
Mambo ya kuzingatia sina uzoefu nayo

Ila naweza kukushauri kwenye location, jaribu kufungua mahali ambako kuna shule ama chuo karibu ama njiani ambako wanafunzi wanapita kwa wingi
 
Back
Top Bottom