technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,722
- 58,933
Hii katuni ya Masood inamanisha nini?
contextwise uko sahihi kabisa, Mabunduki, mishale, ukuta havisaidii kuzuia mchwa kuiba nyama ya kuku unayoilinda. Kuna njia za panya mchwa wataiba tu!tanzanite wall
Vzr sana!Kuna mtu anajifanya analinda rasilimali za nchi kumbe kuna wajanja wanazila kijanja. Pia kuna matumizi makubwa ya nguvu katika ulinzi ilhali wizi unafanyika kwa akili.
Ana kibanabana kinaliwa na nyenyere...Hii katuni ya Masood inamanisha nini?View attachment 1078777
"Unaziba mbere, watu wanapenyeza nyuma"....
Nitarekebisha siku "jiwe" akirekebika kwenye matumizi ya "L" na "R".Rekebisha kiswahili chako mkuu
Kipanya ni genius aisee. Jamaa analinda juu chini anapigwa.Hii katuni ya Masood inamanisha nini?View attachment 1078777
na wewe.....kila kitu chadema. ripoti ya xxx pia imetoka chadema.Chadema Ndo mchwa wanamuhujumu mheshimiwa rais
Chadema Ndo mchwa wanamuhujumu mheshimiwa rais
Wamemzidi akili?Chadema Ndo mchwa wanamuhujumu mheshimiwa rais
Hii katuni ya Masood inamanisha nini?View attachment 1078777