usinikumbushe mambo ya disection
Sijui kama naweza tena. Mikono imekuwa migumuuu hahaha. Eti unaona na digestive system kabisa!
Style nzuri wakati unatafuta cha tatu!
Nimecheka sana........sijui kwa nini.......
hv dawa gani inamfanya mende afe hivyo?
Ehh! Ukiwa na maana One and two ... ilikuwa style ipi?