frank wa moyo
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 480
- 114
kitu cha chloroform, wapi mtaalm wa biology aka chief wa taabora
Nimecheka sana........sijui kwa nini.......
Helicopter na MbuziKagoma ndio kazi zake kuu..
Kama ilivyokuwa Kwa Mende ...! Kwa Mbuzi Kagoma na Helecopter ... picha tafadhali!
Umenifanya nipige breki ya Tommy and Jerry, maana spidi niliyokuja nayo naijua mwenyewe. ANYWAY NGOJA NIRUDI NILIKOTOKA.
Uzi una miaka5 duuh, watu wameufukua
Kuchunguza muhimu kamanda!Asee na unachunguza vitu vingi mmno mie wala sikujua uzi ni wa lini.
Nimecheka sana........sijui kwa nini.......
Ulikuwa na homework nini? Naona ukaamua upitie library kidogoHahaha naona na style ya Mbuzi Kagoma