Ambae hujaoa/kuolewa usiikimbilie ndoa

Ambae hujaoa/kuolewa usiikimbilie ndoa

Watu wengi huwa wanakosea sana kuoana kwa kujuana juu juu tu. Watu wanakutana bar miezi mitatu mbele ndoa.

Lazima ukitaka kuoa umchunguze mwanamke kiundani mpaka kizazi chake cha tatu kwenye ukoo wake uwajue nje ndani. La sivyo utajibebesha gunia la misumari.

Umenikumbusha mzee mmoja juzi tuko maskani tunapiga story za mambo ya ndoa akatuambia "Vijana ukitaka kuoa muoe mama mkwe wako" akafafanua akasema "yani kama unataka kumuoa binti yangu basi muoe mke wangu".

Kuna tulioelewa ila wengine hawakuelewa.
kweli ilo ni fumbo zito kwa upande wa huyu binti...rafiki yake mkubwa ni mama yake...hapo mwanzo mama yake alikuwa rafiki yangu kwa vistory vya hapa na pale lakini baadae mila ikanitenganisha nae kabisa, mila zetu haziruhusu kabisa kuwa karibu na mama mkwe...japo ni kweli tabia ya mzazi ina reflect kabisa kwenye tabia harithi za mtoto
 
kweli akili nyingi inahitajika...ila kuna mengine yanahitaji ujasiri...ivi ikitokea unamuona mkeo anafanya jambo ubnormal gizani mkiwa mmelala...mathalani amekukalia, ama bila sababu za msingi anaamka na kusimama chumbani usiku...ni akili gani itahitajika hapo....?
Iko hivi, Vacation ni kitu cha lazima kwa binadamu yeyote yule.

Inapotekea umeona rituals kama hizo huenda hakuna nia mbaya hata kidogo ila kuna issue za kifamilia unapaswa kwenda vacation kuzimaliza.

Wazungu wanaokuja Africa vacation siyo wote matajiri ila ni fursa ya kubadili upepo na rebuilding relationship zao.

Ndio maana wenzentu wazungu hata makazi huwa wanabadili ana take morgage sehemu nyingine tofauti na sisi umezaliwa kwa mtogole basi hadi kizazi cha tano wote mmeng'ang'ana kuishi hapo hapo tu wakati hata mitume utaambiwa alizaliwa Madina akaenda kuishi Maka, mwingine Kazaliwa Nazareth akaenda Jerusalem.
 
Anapenda mambo ya waganga? lazima pawe na sababu
hapendi kabisa mambo ya waganga...pengine mimi naweza kuwa ni muhangaikaji sana si unajua natokea Tanga huko...haaahaaa...ila amini nakwambia awa mabinti wa kilokole/makanisani wanayo mambo mengine tofauti na ya kiganga ambayo mtu ukimwambia kwa mdomo hawezi kukuamini...
 
kidogo upo upande wangu...je mtu akifanya yale makosa ambayo kwako ni makubwa unaweza kuendelea kumvumilia...?
Makosa makubwa? Kama yapi, kazaa nje, kaja na ukimwi, ama yapi? Kuna baadhi ya makosa yanajirudia maksudi labda ukute pia inategemea chanzo ni wewe, ukiweka formula moja ya maisha hamtafika mbali, ukumbuke pia na wewe ni binadamu unakosea, mwanamke naye ana moyo kama wako, anapokea makosa yako jinsi anavyoyapokea, ni mengi anavumilia pia
 
Iko hivi, Vacation ni kitu cha lazima kwa binadamu yeyote yule.

Inapotekea umeona rituals kama hizo huenda hakuna nia mbaya hata kidogo ila kuna issue za kifamilia unapaswa kwenda vacation kuzimaliza.

Wazungu wanaokuja Africa vacation siyo wote matajiri ila ni fursa ya kubadili upepo na rebuilding relationship zao.

Ndio maana wenzentu wazungu hata makazi huwa wanabadili ana take morgage sehemu nyingine tofauti na sisi umezaliwa kwa mtogole basi hadi kizazi cha tano wote mmeng'ang'ana kuishi hapo hapo tu wakati hata mitume utaambiwa alizaliwa Madina akaenda kuishi Maka, mwingine Kazaliwa Nazareth akaenda Jerusalem.
umesomeka sana shida ni vipato sasa...yani kwa kipato changu haki vile nikisafiri kutoka nilipo kwenda dar....naweza nikawa nimeharibu bajeti pengine ya wiki nzima
 
Pole Sana... mabinti wanaokimbilia kubeba mimba ili aolewe au awekwe ndani huwa na changamoto Sana. Wengi hutafuta sehemu ya kuishi na uhakika wa maisha/huduma na kukimbia maisha duni/dhiki kwao. Mioyoni huwa hawana mapenzi ya kweli. Akishazaa na mtu huanza tabia zake za hovyo akiwa na uhakika wa kutofukuzwa. Humtumia mtoto au watoto kama ngao yao.


Utakuja zeeka mapema na stress.
 
sasa utatumia mbinu gani kuyavumilia yasiyo vumilika...mathalani mkeo anakuwangia na unamuona live usiku mkiwa mmelala...hapo utatumia mbinu gani kuyavumilia...?
Hapa unasema anakuwangia live.
hapendi kabisa mambo ya waganga...pengine mimi naweza kuwa ni muhangaikaji sana si unajua natokea Tanga huko...haaahaaa...ila amini nakwambia awa mabinti wa kilokole/makanisani wanayo mambo mengine tofauti na ya kiganga ambayo mtu ukimwambia kwa mdomo hawezi kukuamini...
Halafu huku unakanusha kwamba hapendi mambo ya waganga, tukueleweje? Unajuwa kama hapa upo na watu wazima.
 
Mkuu pole sana, unachozungumza unagusa maisha yangu kabisa.

Hata mimi niliwai kuoa kwa sababu kama zako lkn mpaka Sasa sijapata furaha yoyote ya kua na mwanamke matatizo hayaishi tuna miaka miwili mpaka Sasa.
Lakini ndani ya miaka miwili asilimia 60 ya kipato changu inapitilia katika matibabu yani magongwa ya kimila bandika bandua.

Hua nawaza nimpige tipa ila naingiwa na huruma kupitia mtoto nikiangalia matatizo hakuyataka ila yote kwa yote tuwe makini katika machaguo na hii ni kamali Haina ujanja pia.
 
Nimekaa nikawaza sana changamoto ambazo nakutana nazo maishani, changamoto hizi muda mwingine zinanifanya nakufuru, na huwa najuta sana, maisha ni magumu, kazi nazo siku hizi zimekuwa ngumu kiasi kwamba hakuna tofauti kati ya mwenye kazi na asie na kazi. siku hizi ukimpata mtu akakusaidia 1000 tu ya kula mshukuru sana na umthamini kama ndugu.

Miongozni mwa vitu vinavyo nifanya nijute sana mimi mwenzenu ni kuoa nikiwa na umri mdogo, niliingia kwenye maisha ya ndoa punde tu nilipo kuwa na miaka 24. na chanzo kikubwa cha mimi kuingia kwenye ndoa kichwa kichwa ni kwasababu ya ahadi niliyo jiahidi kuwa sitaki mtoto wangu alelewe na baba mwingine ingali nikiwa hai. hivyo katika kurukaruka na mabinti ikatokea huyu mke wangu akashika mimba. sikuwa na jinsi ikabidi tu nifanye uhalalishwaji ili nipate fursa ya kumlea mtoto wangu katika maadili ya wazazi wote wawili. ili mtoto asije kunilaumu hapo baadae. {hii ni kutokana na maisha ambayo nimewahi kuyapitia nikiwa mdogo hivyo sipendi sana mtoto wangu afuate njia yangu}

Kwenye hawa mabinti tunao papukia kuwaoa kuna wengine ni wachawi total, kuna wengine wana majini mabaya ya mikosi,

Kuna kipindi kwenye haya maisha yangu ya ndoa kwenye baadhi ya tarehe zikifika nyumba huwa naiona chungu sana, tunaweza tukanuniana bila sababu maalum, hii hali inaweza kudumu hadi siku nne nakuendelea, nikimuangalia mwanangu bado mdogo ndio kwanza yupo kwenye hatua za kujifunza kusoma.

Kuna muda ukimuamsha mwenzio ili ule tunda la usiku bila sababu za msingi aamki. unaamua tu kumuacha na kufanya mambo mengine ya kukupotezea mawazo. waliosema tumia muda mwingi kumpata mtu sahihi awakukosea.

Ukitaka kuoa kijana mwenzangu ambae hujao hakikisha unaoa mwanamke unae jua historia yake, hapa ni bora ukaangalia wale uliokua nao utotoni ni bora zaidi kuliko kukutana na mwanamke tu juu juu utakuja kujuta kama mimi ninavyojuta.

Waliosema ukitaka kufanikiwa jifunze kubalance ny.ege hawakukosea kabisa, mimi mwenzenu chanzo cha majuto haya yote ni kushindwa kudhidhibiti ny.ege zangu.

Huyu binti kwaajili ya mwanangu ninampenda ila nahisi kuna matatizo yao kwenye ukoo wao ajawahi kuniambia ila haki vile kuna vitimbi haviandikiki kabisa...nashindwa nianzie wapi kuviandika ili jamii inielewe ila kwakifupi usiinkimbilie ndoa...tumia muda miwngi sana kumschunguza mtu ulie nae kwenye mahusiano...usikosee kuoa utajuta sana​
wewe kama uliokota malaya ukakurupuka kuoa kwa sababu ya kuangalia sura na matako ni wewe , usije kukatisha tamaa vijana ambao hawajaona kwa sababu wake wazuri wapo wengi tuu na wenye heshima na ndoa zao
 
Ulioa mchawi?
bado sijajua kama ni mchawi ama lah...ila kwa kifupi anaweza akaamka akaka gizani..peke yake...kuna siku unashangaa bila sababu za msingi mtu amekukalia...unajua mara nyingi mimi huwa nachelewa sana kupata usingizi...na huwa naweza nikajifanya nimelala hata masaa matatu hadi manne mtu akajua nimelala kumbe nipo macho...vile vile huwa nikishituka usingizini sipati usingizi kiurahisi sasa wife halijui hilo...huwa naweza nikawa macho ila sijitikisi
 
wewe jamaa umeandika kitu kizito sana...hali ya kumuacha huyu binti huwa inanijia ila tatizo ni huyu kijana wangu...nilitamani sana nimlee kwenye malezi ya wazazi wawili..
Kwani umebiwa ukiachana na mkeo mtoto hata endelea kupata matunzo??,ilikija duniani peke yako na utaondoka peke yako hata huyo mtoto anayemthamini sana jua fika unatimiza wajibu wako tu-lwa vyovyote vile akikua bado atamthamini Mama take kuliko wewe hata kama unaishi nae.

Kama Mwanamke amefikia hatua ya kukinyima unyumba,hapo hamna maana ya ndoa tena.vyanzo vya vivo vingi vya Wanaume wa kifarika ni ndoa-stress za ndoa zinafanya wanaume wanawaza mpaka wanapata presha.
 
Nimekaa nikawaza sana changamoto ambazo nakutana nazo maishani, changamoto hizi muda mwingine zinanifanya nakufuru, na huwa najuta sana, maisha ni magumu, kazi nazo siku hizi zimekuwa ngumu kiasi kwamba hakuna tofauti kati ya mwenye kazi na asie na kazi. siku hizi ukimpata mtu akakusaidia 1000 tu ya kula mshukuru sana na umthamini kama ndugu.

Miongozni mwa vitu vinavyo nifanya nijute sana mimi mwenzenu ni kuoa nikiwa na umri mdogo, niliingia kwenye maisha ya ndoa punde tu nilipo kuwa na miaka 24. na chanzo kikubwa cha mimi kuingia kwenye ndoa kichwa kichwa ni kwasababu ya ahadi niliyo jiahidi kuwa sitaki mtoto wangu alelewe na baba mwingine ingali nikiwa hai. hivyo katika kurukaruka na mabinti ikatokea huyu mke wangu akashika mimba. sikuwa na jinsi ikabidi tu nifanye uhalalishwaji ili nipate fursa ya kumlea mtoto wangu katika maadili ya wazazi wote wawili. ili mtoto asije kunilaumu hapo baadae. {hii ni kutokana na maisha ambayo nimewahi kuyapitia nikiwa mdogo hivyo sipendi sana mtoto wangu afuate njia yangu}

Kwenye hawa mabinti tunao papukia kuwaoa kuna wengine ni wachawi total, kuna wengine wana majini mabaya ya mikosi,

Kuna kipindi kwenye haya maisha yangu ya ndoa kwenye baadhi ya tarehe zikifika nyumba huwa naiona chungu sana, tunaweza tukanuniana bila sababu maalum, hii hali inaweza kudumu hadi siku nne nakuendelea, nikimuangalia mwanangu bado mdogo ndio kwanza yupo kwenye hatua za kujifunza kusoma.

Kuna muda ukimuamsha mwenzio ili ule tunda la usiku bila sababu za msingi aamki. unaamua tu kumuacha na kufanya mambo mengine ya kukupotezea mawazo. waliosema tumia muda mwingi kumpata mtu sahihi awakukosea.

Ukitaka kuoa kijana mwenzangu ambae hujao hakikisha unaoa mwanamke unae jua historia yake, hapa ni bora ukaangalia wale uliokua nao utotoni ni bora zaidi kuliko kukutana na mwanamke tu juu juu utakuja kujuta kama mimi ninavyojuta.

Waliosema ukitaka kufanikiwa jifunze kubalance ny.ege hawakukosea kabisa, mimi mwenzenu chanzo cha majuto haya yote ni kushindwa kudhidhibiti ny.ege zangu.

Huyu binti kwaajili ya mwanangu ninampenda ila nahisi kuna matatizo yao kwenye ukoo wao ajawahi kuniambia ila haki vile kuna vitimbi haviandikiki kabisa...nashindwa nianzie wapi kuviandika ili jamii inielewe ila kwakifupi usiinkimbilie ndoa...tumia muda miwngi sana kumschunguza mtu ulie nae kwenye mahusiano...usikosee kuoa utajuta sana​
Yani suala la kuoa Ni swala nyeti Sana , Mimi nabiwa na mzee UKIKOSEA KUOA SAWA UMEINGIA JIHANAMU NDOGO, NI VYEMA Sana ukamjua vizuri mtu unayetaka kumuoa hasa kuhusu yeye na familia Yake pia .
 
Kwani umebiwa ukiachana na mkeo mtoto hata endelea kupata matunzo??,ilikija duniani peke yako na utaondoka peke yako hata huyo mtoto anayemthamini sana jua fika unatimiza wajibu wako tu-lwa vyovyote vile akikua bado atamthamini Mama take kuliko wewe hata kama unaishi nae.

Kama Mwanamke amefikia hatua ya kukinyima unyumba,hapo hamna maana ya ndoa tena.vyanzo vya vivo vingi vya Wanaume wa kifarika ni ndoa-stress za ndoa zinafanya wanaume wanawaza mpaka wanapata presha.
nashukuru kwa wazo hili....nitalifanyia kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom