Ambae hujaoa/kuolewa usiikimbilie ndoa

Ambae hujaoa/kuolewa usiikimbilie ndoa

Kwanza pole, lakini kuendelea kuyavumilia unaweza jipa matatzo zaidi na mwisho hata ulichokusudia ikawa mbaya zaid mara mbili yake, hapa namaanisha uwenda mwanao akaja kukukosa kabisa mana hakuna tatizo baya linalotuua wanaume mapema zaidi kama msongo wa mawazo.
 
yapo yanayo jirudia mathalani hilo la kujinunisha ninusha....anajua fika sipendi mambo ya kununiana...ila kingine kikubwa ni ile hali ya kunikalia usiku tukiwa tumelala...kwakweli ni kitendo cha ajabu sana ambacho huwa sijui kinamaanisha nini...na muda mwingine huwa anaamka usiku kukiwa kuna giza akihisi nimelala lakini huwa namuona anaweza akasimama hata nusu saa...au akaka chini hata lisaa...
Mkuu kukukalia Tena usiku, eeee aiseeee
 
Kwanza pole, lakini kuendelea kuyavumilia unaweza jipa matatzo zaidi na mwisho hata ulichokusudia ikawa mbaya zaid mara mbili yake, hapa namaanisha uwenda mwanao akaja kukukosa kabisa mana hakuna tatizo baya linalotuua wanaume mapema zaidi kama msongo wa mawazo.
Yah mkuu atafute suruhisho haraka Sana asichewe.
 
yapo yanayo jirudia mathalani hilo la kujinunisha ninusha....anajua fika sipendi mambo ya kununiana...ila kingine kikubwa ni ile hali ya kunikalia usiku tukiwa tumelala...kwakweli ni kitendo cha ajabu sana ambacho huwa sijui kinamaanisha nini...na muda mwingine huwa anaamka usiku kukiwa kuna giza akihisi nimelala lakini huwa namuona anaweza akasimama hata nusu saa...au akaka chini hata lisaa...umewahi kumuuliza? alikujibu nini?
 
yapo yanayo jirudia mathalani hilo la kujinunisha ninusha....anajua fika sipendi mambo ya kununiana...ila kingine kikubwa ni ile hali ya kunikalia usiku tukiwa tumelala...kwakweli ni kitendo cha ajabu sana ambacho huwa sijui kinamaanisha nini...na muda mwingine huwa anaamka usiku kukiwa kuna giza akihisi nimelala lakini huwa namuona anaweza akasimama hata nusu saa...au akaka chini hata lisaa...
wewe kaka umeshindwa kabisa kumuuliza kwa nini huaanafanya hivyo?? bado unampenda??


acha kufungua akaunti moyoni mwako ambazo hazna manufaa yoyote yale, wewe ndie baba wa hio familia, ndio kiongozi wa familia yako, its either afate unavyotaka au piga chini kwaustawi wa moyo wako mtoto atakua tu kuendelea kushikilia asilelewe namtu mwegine wakat mama yake hamuendani unajiumiza sjui why you keep on holding on to her wakat unayaona live, yani akukalie upo umetulia tu khaa
 
yapo yanayo jirudia mathalani hilo la kujinunisha ninusha....anajua fika sipendi mambo ya kununiana...ila kingine kikubwa ni ile hali ya kunikalia usiku tukiwa tumelala...kwakweli ni kitendo cha ajabu sana ambacho huwa sijui kinamaanisha nini...na muda mwingine huwa anaamka usiku kukiwa kuna giza akihisi nimelala lakini huwa namuona anaweza akasimama hata nusu saa...au akaka chini hata lisaa...
Kiufupi mkeo ni mchawi , ila kupitia hili maamzi ni yako mwenyewe ila fanya ya amani ambayo badae hutojuta
 
Nimekaa nikawaza sana changamoto ambazo nakutana nazo maishani, changamoto hizi muda mwingine zinanifanya nakufuru, na huwa najuta sana, maisha ni magumu, kazi nazo siku hizi zimekuwa ngumu kiasi kwamba hakuna tofauti kati ya mwenye kazi na asie na kazi. siku hizi ukimpata mtu akakusaidia 1000 tu ya kula mshukuru sana na umthamini kama ndugu.

Miongozni mwa vitu vinavyo nifanya nijute sana mimi mwenzenu ni kuoa nikiwa na umri mdogo, niliingia kwenye maisha ya ndoa punde tu nilipo kuwa na miaka 24. na chanzo kikubwa cha mimi kuingia kwenye ndoa kichwa kichwa ni kwasababu ya ahadi niliyo jiahidi kuwa sitaki mtoto wangu alelewe na baba mwingine ingali nikiwa hai. hivyo katika kurukaruka na mabinti ikatokea huyu mke wangu akashika mimba. sikuwa na jinsi ikabidi tu nifanye uhalalishwaji ili nipate fursa ya kumlea mtoto wangu katika maadili ya wazazi wote wawili. ili mtoto asije kunilaumu hapo baadae. {hii ni kutokana na maisha ambayo nimewahi kuyapitia nikiwa mdogo hivyo sipendi sana mtoto wangu afuate njia yangu}

Kwenye hawa mabinti tunao papukia kuwaoa kuna wengine ni wachawi total, kuna wengine wana majini mabaya ya mikosi,

Kuna kipindi kwenye haya maisha yangu ya ndoa kwenye baadhi ya tarehe zikifika nyumba huwa naiona chungu sana, tunaweza tukanuniana bila sababu maalum, hii hali inaweza kudumu hadi siku nne nakuendelea, nikimuangalia mwanangu bado mdogo ndio kwanza yupo kwenye hatua za kujifunza kusoma.

Kuna muda ukimuamsha mwenzio ili ule tunda la usiku bila sababu za msingi aamki. unaamua tu kumuacha na kufanya mambo mengine ya kukupotezea mawazo. waliosema tumia muda mwingi kumpata mtu sahihi awakukosea.

Ukitaka kuoa kijana mwenzangu ambae hujao hakikisha unaoa mwanamke unae jua historia yake, hapa ni bora ukaangalia wale uliokua nao utotoni ni bora zaidi kuliko kukutana na mwanamke tu juu juu utakuja kujuta kama mimi ninavyojuta.

Waliosema ukitaka kufanikiwa jifunze kubalance ny.ege hawakukosea kabisa, mimi mwenzenu chanzo cha majuto haya yote ni kushindwa kudhidhibiti ny.ege zangu.

Huyu binti kwaajili ya mwanangu ninampenda ila nahisi kuna matatizo yao kwenye ukoo wao ajawahi kuniambia ila haki vile kuna vitimbi haviandikiki kabisa...nashindwa nianzie wapi kuviandika ili jamii inielewe ila kwakifupi usiinkimbilie ndoa...tumia muda miwngi sana kumschunguza mtu ulie nae kwenye mahusiano...usikosee kuoa utajuta sana​
Usiikimbilie zinaa!
 
kweli akili nyingi inahitajika...ila kuna mengine yanahitaji ujasiri...ivi ikitokea unamuona mkeo anafanya jambo ubnormal gizani mkiwa mmelala...mathalani amekukalia, ama bila sababu za msingi anaamka na kusimama chumbani usiku...ni akili gani itahitajika hapo....?
Sa we nae kwanini unavumilia mambo ya kutisha hivyo? Unamuogopa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom