Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Atakaeweza kujisaidia hapa na kuflush bila shida ntampa mali zangu zote
Hadi mke wako?
Atakaeweza kujisaidia hapa na kuflush bila shida ntampa mali zangu zote
Kwa kutazama picha tu nahisi kizunguzungu, hizi sanaa zingine bhana!...
including mke?!!Atakaeweza kujisaidia hapa na kuflush bila shida ntampa mali zangu zote
yote tisa hapa ndio shughuli inapoanzia
Kiongozi,kuna kiumbe anaitwa popo,huyo anaweza bila tatizo.Atakaeweza kujisaidia hapa na kuflush bila shida ntampa mali zangu zote
including mke?!!
Hadi mke wako?
hiyo ndo mali mkuu ungekuwa nayo mi ningeenda kujisaidia kwenye hicho choo!Sina mke mkuu
hiyo ndo mali mkuu ungekuwa nayo mi ningeenda kujisaidia kwenye hicho choo!
watakaaje sasa hapo kwenye sofa? wazungu kweli kizunguzungu