Acheni kufanya biashara kwa mising ya dini. Watu wangevutiwa na hayo matofali kama ungeondoa alama ya haalal.je huku kuwagawa watanzania? Na mwingne akija na tofali zina chapa ya Christian Community si utaanza kulaumu?
Mkuu unayosema ni sawa,kwamba UDINI haukubalik hata kidogo.Neno Halaal halina uhusiano au maana ya dini yoyote,ni neno la kiarabu maana yake HALALI,just a brand name!
Mkuu unayosema ni sawa,kwamba UDINI haukubalik hata kidogo.Neno Halaal halina uhusiano au maana ya dini yoyote,ni neno la kiarabu maana yake HALALI,just a brand name!
Ḥalāl (Arabic: حلال‎ ḥalāl, 'permissible') is a term designating any object or an action which is permissible to use or engage in, according to Islamic law. The opposite of this word is haraam.
Kwa hivo nikifungua biasahara nikaiita HARAAM BRICK MAKERS itasomekaje? Kwa msimamo huohuo kuwa ni neno tu la kiarabu?
Ni kweli kabisa inahitajika elimu hapa. Kuna watu kila kitu cha kiarabu wanakiushisha na Uislamu. Kuna jamaa walitaka kuanzisha vita baada ya kukuta vitabu vya kiarabu vimechomwa wakidai eti ni Msaafu (huko Mwanza miaka iliyopita). Hivyo tuwe makini ni jina tu ingawa hili lingekuwa "reserved" kwani limetumika mahali pengine kuonyesha kuwa ni kitu kilichotayarishwa kwa mujibu wa dini ya Kiislamu.
Sawa kabisa mkuu,UDINI HAUKUBALIKI....Karibu ujenge IMARA kwa kizazi chako kijacho!
Mwenyekiti wa CUF Lipumba anahubiri udini msikitini na ushahidi upo; halafu kesho yake chama chake kinakemea udini!! It can only happen in Tanzania!
mbona mwenyewe alishawahi kuelezea maana ya halal?kwa kuwa ni neno la kiarabu,watu wata tafsiri vyengine.halal ni kitu original na sio feki.yaani unauziwa kitu ambacho hakina kasoro,au kulingana na hela zako hautokuwa disappoint.kwa kizungu original,kwa kiswahili sio feki,kitu cha ukwee.kwa upande wa huyu jamaa inabidi asichoke kuwaelezea watu ili wapate kuelewa.maana watu wengne wakiona hilo neno,moja kwa moja wataona ni udini,ambapo kwa yeye hajakusudia hivyo
Mkuu nikitaka hizo tofali 3,000-5,000 kwa mfano mm najenga kinyerezi utaratibu unakuaje?Inashangaza sana ndugu...Karibun kwa ujenzi imara.
Mkuu nikitaka hizo tofali 3,000-5,000 kwa mfano mm najenga kinyerezi utaratibu unakuaje?