Amazing Quality Cement Blocks (Matofali) at 800/= Tsh. Only..!!

mkayala

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2009
Posts
555
Reaction score
72
HALAAL Company Ltd at TEGETA Nyaishozi,along side BAGAMOYO Road,DAR ES SALAAM, brings you a very special offer......!
Quality Cement Blocks at only 800/= Tsh,manufactured by using GENUINE LUCKY CEMENT from PAKISTAN,DAWASCO TAPE WATER,ADMIXTURES(Improve quality),QUALITY MASHINES and COMPETENT OPERATORS....ALSO we do have CONCRETE BLOCKS(tofali za kokoto) with a very GOOD CEMENT RATIO and QUALITY AGGREGATES at 1200/= Tsh for 5 inches and 1400/= Tsh for 6 inches .....We also do sell pavements,panels,louvers at a very low cost.

For a QUALITY BUILDING,build with HALAAL Company Ltd....Whatsup
0764 468 469,,,,
''WELLCOME ALL''....
 
Attachments

  • IMG_20130713_084008_0.jpg
    IMG_20130713_084008_0.jpg
    391.8 KB · Views: 397
  • IMG_20130713_084046_0.jpg
    IMG_20130713_084046_0.jpg
    271.8 KB · Views: 371
  • IMG_20130713_084031_0.jpg
    IMG_20130713_084031_0.jpg
    358.3 KB · Views: 322
  • IMG_20130713_090430_0.jpg
    IMG_20130713_090430_0.jpg
    400.5 KB · Views: 433
Acheni kufanya biashara kwa mising ya dini. Watu wangevutiwa na hayo matofali kama ungeondoa alama ya haalal.je huku kuwagawa watanzania? Na mwingne akija na tofali zina chapa ya Christian Community si utaanza kulaumu?
 
Mkuu unayosema ni sawa,kwamba UDINI haukubalik hata kidogo.Neno Halaal halina uhusiano au maana ya dini yoyote,ni neno la kiarabu maana yake HALALI,just a brand name!
 
Ni kweli kabisa inahitajika elimu hapa. Kuna watu kila kitu cha kiarabu wanakiushisha na Uislamu. Kuna jamaa walitaka kuanzisha vita baada ya kukuta vitabu vya kiarabu vimechomwa wakidai eti ni Msaafu (huko Mwanza miaka iliyopita). Hivyo tuwe makini ni jina tu ingawa hili lingekuwa "reserved" kwani limetumika mahali pengine kuonyesha kuwa ni kitu kilichotayarishwa kwa mujibu wa dini ya Kiislamu.
 
Ḥalāl (Arabic: حلال‎ ḥalāl, 'permissible') is a term designating any object or an action which is permissible to use or engage in, according to Islamic law. The opposite of this word is haraam.

Kwa hivo nikifungua biasahara nikaiita HARAAM BRICK MAKERS itasomekaje? Kwa msimamo huohuo kuwa ni neno tu la kiarabu?
 
The point is UDINI HAUKUBALIKI,ndio maana mwisho nikasema WELLCOME ALL,mtu anaeleta dhana ya udin huenda yeye akawa ndio mdini,KARIBUN WOTE KWA UJENZI IMARA.
 
Ni kweli kabisa inahitajika elimu hapa. Kuna watu kila kitu cha kiarabu wanakiushisha na Uislamu. Kuna jamaa walitaka kuanzisha vita baada ya kukuta vitabu vya kiarabu vimechomwa wakidai eti ni Msaafu (huko Mwanza miaka iliyopita). Hivyo tuwe makini ni jina tu ingawa hili lingekuwa "reserved" kwani limetumika mahali pengine kuonyesha kuwa ni kitu kilichotayarishwa kwa mujibu wa dini ya Kiislamu.

Sawa kabisa mkuu,UDINI HAUKUBALIKI....Karibu ujenge IMARA kwa kizazi chako kijacho!
 
Mwenyekiti wa CUF Lipumba anahubiri udini msikitini na ushahidi upo; halafu kesho yake chama chake kinakemea udini!! It can only happen in Tanzania!
 
What is the point then?Kwamba Watanzania waanze kununua bidhaa kwa kuangalia mmiliki ni din gan?Tuache hoja zisizojenga nchi yetu!Karibun kwa matofali imara kabisa,yanayohimili hali ya hewa ya Dar es salaam na kwingine pote!
 
mbona mwenyewe alishawahi kuelezea maana ya halal?kwa kuwa ni neno la kiarabu,watu wata tafsiri vyengine.halal ni kitu original na sio feki.yaani unauziwa kitu ambacho hakina kasoro,au kulingana na hela zako hautokuwa disappoint.kwa kizungu original,kwa kiswahili sio feki,kitu cha ukwee.kwa upande wa huyu jamaa inabidi asichoke kuwaelezea watu ili wapate kuelewa.maana watu wengne wakiona hilo neno,moja kwa moja wataona ni udini,ambapo kwa yeye hajakusudia hivyo
 
Dah,asante sana ndugu kwa kunisaidia kutoa maelezo murua kabisa,KARIBU...
 
Yaani wa tz bana,yani badala ya kujadili mambo ya msingi,ninyi mnachokonoana kwenye udini kha!
 
Mkuu nikitaka hizo tofali 3,000-5,000 kwa mfano mm najenga kinyerezi utaratibu unakuaje?

Utaratibu huwa kwa bei hiyo juu,ni bila usafiri,ila ukichukua matofali kuanzia 2,000 tunakufanyia punguzo hadi Tsh 780/= ili ikusaidie katika transport.Usafiri unapatikana huku au unaweza kuja na wako,karibu ofisin tuongee vizuri tutafikia muafaka,KARIBU SANA...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom