amani iwe nanyi wana chit-chat

yaani uko kukaa kijiweni unasema kuwa ulikuwa bize na kazi nyingi sasa watu8 naye atasemaje kama wewe unasema hivyo? na Mtambuzi naye asemeje huko alikokuwa, mwanza na Nicas Mtei naye atasemaje wewe ukisema hivyo? hebu njoo huku mjengoni acha fiksi hizo ondoka huko kijiwe cha Donn
 
Last edited by a moderator:
ladyfurahia huku kijiweni kwetu hujui kuwa ndo ofisini kwetu? Donn anatumia pesa unajua zinatoka wapi???
 
Last edited by a moderator:
Slave umeona Passion Lady alivyokuruka
We endelea kuwaambia mambo ya ulanzi na mbege kama watakusikiliza
Arabela pesa mpango mzima bana bila hiyo hakuna heshima mjini
Mr Rocky huyu mtoto Passion Lady inaonekana hapendi mtu ila pochi kwanza,sasa mie wa hivyo hamnaga kama ninamatatizo yangu bora niende kuleee jukwaa la chini naweza pata tiba asilia bila gharama kubwa huko ni mwendo wa jero jero tu
 
Last edited by a moderator:
Slave bora kabisa ujiendee lile jukwaa mbadala huko utapata tiba bure kabisa huku watakutoa roho tuu
Mamndenyi hujambo dear. Nimekumiss wewe vibaya sana.
Nakupenda pia
 
Last edited by a moderator:
Hujambo mpendwa, nimesikia sauti yako ikiita jina langu!!

 
mimi sijambo buheri wa afya sijui wewe uliyembali na upeo awa macho yangu, nimekuita hapa ili uweze kumsaidia huyu mtu anayejifanya kuwa yeye yuko bize sana na kazi na kumbe si lolote si chochote mpendwa, msaidie hapo si aende kwa donn kule ndo kunamfaa
Hujambo mpendwa, nimesikia sauti yako ikiita jina langu!!
 
Naendelea vyema...
Nishampa mchongo wa hela jana, kwa hiyo at least kuanzia leo atakuwa busy akiingiza hela.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…