Oooooh so sad!Walimtelekeza
As you make your bed so you're must lie on it, kilicho mpata Abel pia kaini kimempataHalafu anataka aombewe
Oooooh LORD PUT YOUR HAND ON THE SICK DONKEYHalafu anataka aombewe
Adui mwombee njaaHakuna uongozi au serikali itaepuka kusemwa au kukosolewa. Wanachokosea ni njia wanayotumia kupambana na hii hali.
Wakiwaacha watu wakasema wao wakajikita kutatua kero na kufanya mambo kwa mpangilio, watapunguza matatizo mengi na makelele ya wananchi wenye hasira.
Ni kweli sikufurahishwa sana na huyu jamaa wa nyumbani alivyotyumia nafasi yake alipokuwa madarakani lakini kumuombea mabaya sio uungwana, kwa ufupi kufurahia adui yako anapokua matatizoni hakuna faida yeyote.
Daaah jamani mnatuvunja mbavu hukuSio unampelekea simba kachumbari limao ili aburudike vizuri
Bingwa wa kusamehee myahudi mmoja aitwae Yesu hakuwasamehe wale walioligeuza hekalu la bwana pango la walanguzi na wanyang'anyi. Akapinduapindua meza zao. Sembuse sie wadhaifu tukawasamehe mashetani?????Tumeumbwa kusamehe na kuombeana radhi... Tulenge ya mbele !!
Bingwa wa kusamehee myahudi mmoja aitwae Yesu hakuwasamehe wale walioligeuza hekalu la bwana pango la walanguzi na wanyang'anyi. Akapinduapindua meza zao. Sembuse sie wadhaifu tukawasamehe mashetani?????
Sio majibu mzee Watu wamechafukwa kwelikweli hatutaki utaniDuh! Aisee watu mnamajibu
Ahahahaaaaa nimeipenda hii #get well soon pundaBingwa wa kusamehee myahudi mmoja aitwae Yesu hakuwasamehe wale walioligeuza hekalu la bwana pango la walanguzi na wanyang'anyi. Akapinduapindua meza zao. Sembuse sie wadhaifu tukawasamehe mashetani?????
Hahaaa Duh !!Siku nikimkuta mwana ccm anataka kuliwa na simba namsaidia simba afanikishe azma yake
Atakuwa ashashiba na maccm yalivyonona kwa kula kodi zetu unafikiri huyo simba atahitaji kula tena,Alafu huyo Simba akimalizana naye anageukia kwako.
Sky ecklat cjapenda ulivyolike Hii postTumeumbwa kusamehe na kuombeana radhi... Tulenge ya mbele !!
Barikiwa mzeeAhahahaaaaa nimeipenda hii #get well soon punda