Vita na machafuko ndio zilifanya West na nchi nyingne zenye maendeleo kuwa hapo

ndonger

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
875
1,542
Ni sentensi iliyojitosheleza yenyewe.

Untill watu wamechafukwa kweli kweli na hawataki ujinga tena na wameamua kwa maisha yao ndipo maendeleo huja.

Ilikuwa hvyo kwa Europe, America, China, Japan na nchi nyingine zenye maendeleo makubwa.

Africa bado hatujapitia hal hyo.

White people killed eachother, then respect was put there..

Hakuna alietaka kurudia yaliyopita..
Discipline ikajengwa na maisha yakaanza moja.

Leo nipo kwenye mji ambao miaka kadhaa nyuma ulikua na machafuko ya vita ya dunia na ukawa wote umelazwa chin....sifur kabisa likabak jengo moja tu..

Ila sasa ni moja ja majiji bora dunian.

Aisee..
Maisha ni safar ndefu..

Uandishi mbovu..sorry Watu wa HKL..mnisamehe
 
NAAM MABADIRIKO YA KWELI AFRICA,
Hayatakuja kwa maombi, tume za uchaguzi, kubadirisha katiba.
Yatakuja baada ya hatua za vita za wenyewe kwa wenyewe. Mkichoka kupigana mnajaa meza moja na kuunda utaratibu wa pamoja, mifumo ya pamoja, mifumo ya kuketa haki kwa wote. PALIPO NA HAKI, AMANI UISHI.

UOGA NA HOFU za waafrica, inatafsiriwa kama ya nchi zenye utulivu na Amani
 
Huo ndio Ukweli wenyewe.

Ahsante mleta Mada, wale magaidi wa JF waione...manake


Wapo wapotoshaji na wajuaji, watakwambia, yale unayoyaona na kusikia kutoka huko Jehanam(West) yamekuwa hivyo toka mwanzo.
 
Mkitaka mheshimiane siku zote lazima mtandikane
Heshima ndiyo itakuja

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom