Mkwawe
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 2,345
- 4,168
View attachment 2843230nimiokota hukooo, ila wananzengo wamechafukwa jamani duuuh
Ok sio kesi hata Mimi nimevutiwa na mambo ya vpn Kama wadau tusambazianw upendo, haya mambo ya vifurushi, nauli yatatutoa roho jamani hadi namkumbuka magufuli